Nancy Sumary na Dada Yako Nakaya Kunani ? Je ni Kweli Kuna Beef Kati ya Hawa Ndugu Wawili?
4
May 31, 2015
Nasikia Habari ya Mjini ni kuwa Hawa Ndugu wawili wa Damu Nancy Sumary na Dada yake Nakaya Kwa sasa Haziivi Hata Kidogo...Je Kunani Ama ni Uzushi tu ...Embu kwa Anaye jua A-Z atujuze....Maana Sitaki Kuamini Jinsi walivyokuwa wanapendana..eti sasa kila mtu kivyake....
Tags
wewe si mdaku waulize wenyewe.
ReplyDeletemuulize Le mutuz atakwambia.
ReplyDeleteHuyu Sifaa aka Nancy alokauka kama nyama kavu mbaya sana na ana roho ya shetani usipoangalia utaishia pabaya
ReplyDeleteNone of your business
ReplyDelete