Web

Ngassa asaini miaka 4 FREE STATE, Alamba $80,000,Mshahara $5,600, Nyumba Gari Bure

Ni baada Yanga kumshusha thamani.Sasa awa lulu bondeni.
Gari atakayopewa ni mpya kabisa BMW made ya S.AFRICA.
Kila la kheri NGASSA.
My take:
Yanga wamuuze na Msuva,otherwise nae ataondoka free mwezi jan.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongeraaa Uncleee!!! umetufurahisha sana kwenye ligi iliyopita umetupa ubingwa, tunakutakia kila la heri!

    ReplyDelete

Top Post Ad