Nimempa Mimba House Girl Hataki Kuitoa Wala Kuondoka Hataki

Miezi kadhaa iliyopita wife alileta house girl mzuri ajabu na mwenye wowowo la kufa mtu. Binti huyu hushinda na kanga moja tu na nyonyo zimechongoka kama bolibo na akiinama kupiga deki shanga zote nje.

Kwa hali hiyo uvumilivu ukanishinda nikajikuta nimetembea nae mara kadhaa. Juzi ananiambia haoni siku zake, nimemwambia nimpe pesa akatoe amekataa anaogopa kufa.

Tumeongozana hospitali nikathibitisha ni kweli mjamzito. Nikamuomba kwa usalama wa ndoa yangu aondoke, hataki.
Nimemuahidi nitampa mtaji aondoke, hataki anataka nimpangishie sehemu awe mpango wa kando jambo ambalo silitaki.

Kuna mwenye jawabu hapa nifanye nini?
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jawabu litoke wap na umalaya wako jipe mwenyw

    ReplyDelete
  2. Mjulishe tu mkeo kama ulipotea step ukachipuka

    ReplyDelete
    Replies
    1. nakuunga mkono mwambiotu ukweli mkeo najua inauma ila ni bora ukasema wewe mwenyewe kuliko akijua yeye

      Delete
  3. UNAULIZA UFANYE NN KWAN MWANZO WA HLO TUKIO ULITUSHKRKISHA MTUNZE BINT WA WATU TENA NAMPA BIG UP KWA KUKUKATALIA HILO WAZO LAKO LA KISHENZI! D'

    ReplyDelete
  4. bwege nini ulitaka aondoke aende wapi? unae huyo

    ReplyDelete
  5. Ila wewe bwenge kweli kumwagia umwagie wewe raha upate wewe halafu ushauri tukupe sisi,wewe vipi!kweli mambulula wengi

    ReplyDelete
  6. Ushalikoroga lazima ulinywe. Kwani lazima ulale na house girl wakati ma dada poa/machangu kama Wema wapo tena bureeee. Kama huamini waulize CK Dai Ommy Chaz baba na mlolongo wote. Tena kwa sasa ana vuta sembe hajui mpita njia yoyote. Wewe tu na roho yako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi Umesahau ya kwamba wewe pia upo badala ya kumtaja Wema?

      Delete
  7. Ushalikoroga umeshindwa kulinywa nitafute nitamchukua mie

    ReplyDelete
  8. Huyo mwanamke hana hatia wewe roho imekushinda ukaamua kumalizia kabisa sa minakusaidia kwa njia moja tu! Nipe nimuoe huyo mmke utapara aman. Nipe namba tuwasiliane utakuwa safe. Lakini usijerudia maana sio kila siku utapata kunusuriwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad