Wakiona kuna habar nzur za Diamond hawacomment zikiwekwa habar za kizush zenye negative tips kutakuwa na comments kibao za matusi na dharau Wabongo tuna chuki za ajabu we have to change bhana chuki zinapunguza maarifa na zinapunguza njia za riziki pia chuki ni za mtu mjinga tena chuki huwaua watu wajinga
umenena na nakubaliana na wewe asilimia 100, chuki siku zote zinakushusha na hutakaa ufanikiwe hata siku moja hata ukiomba kwa Mwenyezi Mungu, kama wewe hupendi maendeleo ya mwenzio utaishia kusema sema tu.
big up kijana!!!
ReplyDeleteUYU JAMAA NI KWERE...GOD BLESS HIM
ReplyDeleteWakiona kuna habar nzur za Diamond hawacomment zikiwekwa habar za kizush zenye negative tips kutakuwa na comments kibao za matusi na dharau Wabongo tuna chuki za ajabu we have to change bhana chuki zinapunguza maarifa na zinapunguza njia za riziki pia chuki ni za mtu mjinga tena chuki huwaua watu wajinga
ReplyDeleteumenena na nakubaliana na wewe asilimia 100, chuki siku zote zinakushusha na hutakaa ufanikiwe hata siku moja hata ukiomba kwa Mwenyezi Mungu, kama wewe hupendi maendeleo ya mwenzio utaishia kusema sema tu.
Delete