Waziri Nyalandu akiwa amembeba mmoja wa askari wa kike.
Kitendo hicho kimeonekana kuwakera wabunge ambao wamepaaza sauti na kuhoji uhalali wa waziri kumshika kiuno Askari wa kike....
Hapo chini kuna audio ya Mbunge Nassari akiongelea sakata hilo
MIYE SIONI TATIZO HAPO!!!!
ReplyDeleteHAKUNA SHIDA there is no problem ,ni kuonyesha furaha,au kuopongeza.,
ReplyDelete