Picha ya Waziri Nyalandu Akiwa Amempakata Askari Yafika Bungeni.......Msikilize Mbunge Nassari akiongelea sakata hilo

Waziri Nyalandu akiwa amembeba mmoja wa askari wa  kike.

Kitendo  hicho  kimeonekana  kuwakera  wabunge  ambao  wamepaaza  sauti  na  kuhoji  uhalali  wa  waziri  kumshika  kiuno  Askari  wa  kike....

Hapo  chini  kuna  audio  ya  Mbunge  Nassari  akiongelea  sakata  hilo
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MIYE SIONI TATIZO HAPO!!!!

    ReplyDelete
  2. HAKUNA SHIDA there is no problem ,ni kuonyesha furaha,au kuopongeza.,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad