An angry Wema Sepetu speaking with Globalpublishers she called Ray and Steve hypocrites by betraying her for Zari's party. " I don't want to hear anyone telling me about Ray and Steve Nyerere because they are big hypocrites, they promised me they won't go to Zari's All White Party but they did go and they didn't come to Mwanza as the promised me" said Wema
Paparazzi tried to contact Ray but in vain, but when Steve contacted he had this to say " it is true me and Ray promised to join Wema at her show in Mwanza but the last day had money problem of flight ticket to Mwanza so we entirely failed to go and we could not fully depend on her to pay everything for us, so we decided to go to Diamond's party who also invited us"
Anyhow, Steve's reasons aren't strong enough to be accepted although not attending Wema's party and attending Zar's might be noraml, but do you think Ray and Steve truly hadn't money for flight ticket to Mwanza ...?
Swahili Word Platet
Hahaha na bado Wema. Halafu Global nimependa hizo picha 3 mlivyozipanga hasa ya Wema alivyokuja kwenu siku ileeeee kutukana matusi ya tandale wakati akiwa kwenye in my shoes anapigwa chenga na kiswahili. hahahahaha. Wema Kwishneii.
ReplyDeleteMpaka mashoga na marafiki wote wanamkimbiya kwa tabiya zake chafu za kupumbavu yeye anataka watu wote wamfate yeye kwani yeye nani iyo party mbina martin candida , petit , aunty, jokete, penny, wote hawakuwepo
ReplyDeleteHuyo na mama yake kwa roho zao mbaya za hiyana mwisho watajikuta hata wawo wawili watakosa
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh sasa hapo kapitiliza sheeeeeeeeeeeeeee mtu asipate dharura? kuhudhuria kwa Zari ndio nini? wacha akili za kijinga na roho ya kimasikini unatupoteza mashabiki wako wenye akili kwa ujinga wako...usipoangalia utabaki na hapo vichwa vyeupe wanakusaport hata ukichemka wanakupigia makofi.amka dogo huu sio wakati wa kufanya ujinga uwe unakubali matokeo na sio kutafuta mashindano unajichujaa.kua kama ndugu zako wako hot....Agh
ReplyDeleterrrrr