Shilole Posted Her Video On Instagram Talking Broken English..Seriously !

Shilole Posted Her Video On Instagram Talking Broken English .. See Video Below

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nimeshndwa kuona correlation kati ya hiyo gari na nyumba...

    ReplyDelete
  2. Hebu tupendane if you know how to speak english thanks god maana umeenda shule, mimi ni mtanzania english is my second language so if shilole speak broken English ni kawaida maana hakijui na wala wazungu hawajali broken English yetu so what kama kaogea kwa mimi nampa Big Up kwa kujaribu Never Give up Shilole, kulikua na Interview ya wanafunzi miliman university na watoto wa st Mary ungeiona hiyo si ungewa ambia hao wanafunzi wa chuo warudi shule,, maana watoto wa darasa la saba na wako bongo wanaongea kingereza fasaa, so acheni kuponda watu wasio jua kingereza wakati unajua Back ground zao kama una mpenda mtafutie English class akajifunze,,,,,

    ReplyDelete
  3. muacheni jamani loooh, kingereza hakina mwenyewe, mbona juzi Daimond aliandika broken English kwenye post yake aliyokuwa kwenye ndege na Romy, Hakuna aliyesema kitu. Wabongo mnanyodo.

    ReplyDelete
  4. Anatia mpaka na huruma. Ni kama anabwia unga vile hahahahahahahahaha..........

    ReplyDelete
  5. Kwani amesemaje?I love u tanzania it's my country,I love u tanzania.so what's big deal???!!!

    ReplyDelete
  6. Ahahahahah...weka basi na video ya idris wa bba akimcheka duh noumah sana

    ReplyDelete
  7. sasa ulitaka asemeje basi irekodi sauti ya kwako tuisikie

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad