·
Wewe ni kijana wa kitanzania ?
· Unapenda kufanya kazi kama MUANDAAJI NA MTAYARISHAJI WA VYAKULA-LISHE MAALUMU KWA WAGONJWA NA WENYE KUSUMBULIWA NA MATATIZO MBALIMBALI YA KIAFYA ?
Kama jibu ni ndio, basi hii ni habari njema sana kwako.
Chuo cha NEEMA INSTITUTE OF HERBALISM & NUTRITIONAL SCIENCE
( NEEMA HERBALIST COLLEGE ) , kinatangaza nafasi za kujiunga na kozi ya CHETI CHA UANDAAJI NA UTAYARISHAJI WA VYAKULA-LISHE MAALUMU KWA WAGONJWA NA WENYE KUSUMBULIWA NA MATATIZO MBALIMBALI YA KIAFYA yaani BASIC CERTIFICATE IN FOODS AND NUTRITION.
Wahitimu watakao fanya vizuri katika kozi hii, watapata nafasi ya kazi ya UANDAAJI NA UTAYARISHAJI WA VYAKULA-LISHE MAALUMU KWA WAGONJWA NA WENYE KUSUMBULIWA NA MATATIZO MBALIMBALI YA KIAFYA katika maeneo mbalimbali,kama vile :
1. KWENYE MAHOTELI MBALIMBALI YA NDANI NA NJE YA DAR ES SALAAM.
2. KWENYE MIGAHAWA MBALIMBALI.
3. KWENYE SHULE MBALIMBALI ZA CHEKECHEA,MSINGI NA SEKONDARI.
4. KWENYE VYUO NA TAASISI MBALIMBALI ZA ELIMU YA JUU.
5. KWENYE VITUO VYA KULELEA WATOTO WADOGO ( DAY CARE CENTRES ).
6. KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA AFYA.
7. KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA LISHE MAALUMU KWA WAGONJWA (Special Diet Centres )
8. KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA KUTUNZIA WAATHIRIKA WA DAWA ZA KULEVYA (Sober Houses )
9. KWENYE VITUO VYA KUTUNZIA WAZEE NA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU YA KIAFYA.
10. KUHUDUMIA WAGONJWA NA WENYE MAHITAJI MAALUMU YA KIAFYA WALIOPO MAJUMBANI.
11. PAMOJA NA KWENYE MAOFISI MBALIMBALI.
MWOMBAJI awe na Elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
FOMU ZA KUJIUNGA
Fomu za kujiunga na kozi hii zinapatikana chuoni kwetu kwa gharama ya shilingi ELFU KUMI NA TANO TU
( Tshs.15,000/= )
Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM,nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Mwisho wa kuchukua fomu ni tarehe 12 JUNI 2015 saa nane kamili mchana.
ADA YA MASOMO
Ada ya masomo haya ni rahisi sana, na italipwa baada ya mhitimu kuingia kazini.
KWA WAOMBAJI WA MIKOANI:
Kwa wa mikoani, kozi itatolewa kwa njia ya posta.
Kwa waliopo nje ya Dar Es salaam,kupata fomu ya kujiunga na kozi hii, andika maombi ya fomu ya kujiunga na kozi hii,kupitia barua pepe yetu ambayo ni :
neemaherbalist@gmail.com
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kwa simu 0765103080.
Au tembelea :
www.neemaherbalist.blogspot.com