Tazama Picha Mbali Mbali za Sherehe ya Zari White Party iliyofanyika Usiku wa Jana
6Udaku SpecialMay 02, 2015
Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu.
Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City.
Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu.
Wasanii wa Yamoto Band wakiwa wametulia tayari kwa shoo ya usiku wa leo.
Mpiga Picha Mkuu wa Global Publishers, Richard Bukos (kati) akipozi na watangazaji Sauda Mwilima wa Star TV(kulia) na Khadija Shaibu 'Dida' wa Times FM.
Wanausalama wakiwaondoa baadhi ya watu waliokosa tiketi.
Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo mashabiki wa Diamond.
sasa hiyo tv station mliosema ataifungua mbona hakuna? na shilling 3.ooo. za walala hoi mliowadanganya wataona kwenye cm zao pia vipi?? kama sio utapale ni nini??
Hivi mtu anejielewa hawezi kumchukia mtu asiekujua, nashangaa unakaa mtandaoni kutukana na kukejeli wakati mwenzako anaingiza pesa aya sasa bilioni moja na milioni mia nane hizo kwenye account zao mtakalia kuponda na kutukana wenzenu hawana habari kwa kujifanya kuyajua maisha ya watu na mipango yao
Siyo kiki falla wewe watu wanafanya maisha we kalia ujinga wa kutukana mitandaoni! Rudi shule kasome watu wanasonga! Huo ndiyo ubunifu ulitaka nani afanye sasa kama siyo domo!
haya tumeona kiki zao. kinachofata xxxx
ReplyDeletesasa hiyo tv station mliosema ataifungua mbona hakuna? na shilling 3.ooo. za walala hoi mliowadanganya wataona kwenye cm zao pia vipi?? kama sio utapale ni nini??
ReplyDeleteIlipendaza!
ReplyDeleteIlimradi amefanya zari ndiyo mnaponda ingulukuwa ni wema hata kama ni mbaya mgilisifu tatizo hamjasoma rudiyeni school
ReplyDeleteHivi mtu anejielewa hawezi kumchukia mtu asiekujua, nashangaa unakaa mtandaoni kutukana na kukejeli wakati mwenzako anaingiza pesa aya sasa bilioni moja na milioni mia nane hizo kwenye account zao mtakalia kuponda na kutukana wenzenu hawana habari kwa kujifanya kuyajua maisha ya watu na mipango yao
ReplyDeleteSiyo kiki falla wewe watu wanafanya maisha we kalia ujinga wa kutukana mitandaoni! Rudi shule kasome watu wanasonga! Huo ndiyo ubunifu ulitaka nani afanye sasa kama siyo domo!
ReplyDelete