So it seems Team Wema wants to control Kajala's life just because Wema saved her from jail by paying Tsh.13 million as fine to save her .And we all know Wema and Kajala became best friends but their friendship later on went kaput. So after dissing her , Kajala had to react by posting the below message....
"If someone isn't what others want them to be, the others become angry. everyone seems to have a clear idea on how other people should lead their lives,but none about his or her own, Life Is about Choice... ONLY GOD CAN JUDGE ME......." wrote Kajala and added another one below...........
Good response
ReplyDeleteHapo ndipo tunaposhindwa kujikwamua na umasikini kwa vitu vya kijinga hivi kajala kosa lake nini tuweni wastaarabu na maisha ya mtu
ReplyDeleteHivi na wewe Kajala akili yako haifanyi kazi vzr nini? Kitu gani kinakushinda kurudisha hizo 13m angalau uwe free hata kama ukweli hautafutika kama ulisaidiwa? Mbona 13m ni pesa ndogo sana kwako kama kweli hamuigizi maisha kwenye mitandao. Manake tunawaona na majumba na magari na shopping za nguvu ndani na nje ya nchi. Lakini ukitukanwa kwa 13m tu unakuwa mpolee kwa nini hulipi? Upunguze tu maneno ya watu.
ReplyDeleteUkishalipiwa dhamana ni Kama umeolewa tu....so respect kwa mume na ndg za mume. M13 Hana so vumilia mupenzi
ReplyDeleteAcheni ujinga team Wema, kwani wakati analipiwa hizo pesa kulikuwa na mkataba wowote? waliandikishiana? ..hapana... mwacheni mtoto kajala apumzike sio mnamwendesha kama gali bovu
ReplyDeleteTeam wema niwajinga kama wema mwenyewe yaani roho zitawauma sana mwaka huu
ReplyDeleteazirudishe anazo?? usione mipicha magazetini ni kiki tu
ReplyDeleteTrue rudisha hako kahela uishi kwa amani
ReplyDeleteMwambie Wema azidai hizo milion 13,mbona wema ana lalamika tu kuwa alimlipia kajala pesa ila hajasema anataka hela zake zirudi?Ukweli wa hiyo milion 13 unajulikana aliyezitoa alipitia kwa mgongo wa Wema ila zilikua sio za wema. ACHENI KUSHABIKIA VITUMSIVYO VIJUA .
ReplyDeleteNanyie taen Wema was**nge kweli,, sasa kama alimpa pesa ndo asiishi anavyotaka? wapuuzi nyie mlipieni basi
ReplyDeletekwani alikopeshwa? alietoa anataka kurudishiwa au,alitolewa kwa upendo ataweza kulipa fadhila?hebu mwacheni kajala wa watu aishi maisha yake
ReplyDeleteHAZIRUDISHE KWA WEMA ZILIKUWA ZAKE??? PESA SI ZA WEMA ASIJISHAUE KABISA , KAMA ZINGEKUWA ZA WEMA HAPO SAWA
ReplyDeleteSiliqua za nani?
ReplyDeleteMuulize CK. Tangu lini Wema ana hela kama hiyo??
DeleteHivi Tangia kajala amchukue ck kuna shoga wa kike yuko Naye karibu. Kajala umelaaniwa na mtoto wako atakuja kulipwa hapa hapa Duniani ona domo analea Mimba sio yake na bado zari akijifungua mtaona new move Aibu team domo na kejeli zote za kumwiimba wema kicheche
ReplyDeleteKwani CK kaandikwa au kazaliwa kwa ajil ya Wema?? Mbona Wema alivyomvunjia ndoa yake hamkusema kitu?? Ck ana uhuru wa kumdinya anaemtaka. Kama kwa huyo Wema wenu alikuwa kakinahi kwann asionje kwengine?? Na ww unaemlaani mtoto wa Kajala lazima utakukwa Gumba kama huyo Wema wenu. Mkomeni Kajala. Na bado mwaka huu mtazidi kuumwa na dawa hakuna. Antie na Kajala mambo poa. Bado kidogo tu Antie na Zari watakuwa mashosti. Wema atazidije kubwia unga sasa?? Kwani kule kwa Ivan vipi tena??
DeleteNazani ck ndio alikuja kumlipia na ndio alikuja mahakamani
ReplyDeleteMimi sio team wema Ila bwana wa shoga yangu ni sumu hata kama nimemuacha ten years
ReplyDelete