Leo ni siku ya pili tangu kuanza kwa mgomo wa madereva.
nimepita maeneo ya Mbezi, Kimara hakuna daladala kabisa, watu wanasafiri kwa kupanda canter na bajaji.
Stand ya mkoa bado hakueleweki abiria wanaonekana kuwa wachache sana. Tofauti na siku ya jana.
UPDATES:
- Mabasi yamepaki na machache yanayotoka nje ya mji yakifika Gongo la Mboto yanashusha abiria hayaendi mjini. Barabara ya Gongo la Mboto ilikuwa imefungwa kwa magogo na mawe mpka saa 12.30 askari walipokuja ndio wameyaondoa
Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015
2
May 05, 2015
Tags
hatari serikali ifanye jitihada ya kusikiliza madai yao
ReplyDeleteserikali yetu imelala imezoea mambo ya zamani mifumo mibovu ya kiutendaji iliyotumika enzi hizo hadi leo dunia imebadilika! Nashauru serikali ijayo ijaribu kutafuta wataalamu washauri wawasaidie kuplan mifumo mizuri ya kiutawala na ufanyaji kazi ........tofauti na sasa watafanikiwa!! lakini kwa staili hii ya bwa shemeji haaaaaa migomo daily maana hamna kuwajibishana everything stayz normal
ReplyDelete