Auawa Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu

Mwanaume mmoja aliyekadiliwa kuwa na umri wa miaka 40, mkazi wa kijiji cha Soy kaunti ya Uasini Gishu nchini Kenya ameuawa baada ya kupigwa vibaya na jirani yake baada ya kumfumania na mke wake.

Kwa mujibu wa mtandao wa Citizen, mume wa mwanamke huyo alikuwa msibani wakati jirani yake akivunja amri ya sita na mkewe, na baada ya kurudi nyumbani majira ya usiku alimkuta live jirani yake na ndipo alipoanza kumshushia kipigo.

Mwili wa marehemu umeifadhiwa katika hospitaly na mtuhumiwa anashikiliwa katika kituo cha polisi cha Matunda.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad