Audio: Wema Akiongelea Uamuzi wa Kuwania Ubunge wa Viti Maalum: Msikilize Hapa



Wema Sepetu anaingia kwenye siasa rasmi mwaka huu kwa kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa viti maalum mkoani Singida kwa tiketi ya CCM. Msikilize akizungumza kwa kina kwenye mahojiano aliyofanya na Diva kwenye kipindi ch Ala za Roho, Clouds FM


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwa Tanzania na CCM ya sasa sitashangaa huyu binti akawa mbunge.............................Ndio Tanzania yetu

    ReplyDelete
  2. tumekuelewa unapanua market range yako, big up sana dada ila kinga inahusu pia.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad