Shilole na Nuhu mziwanda |
Nuh ameileza eNewz kuwa, yeye pamoja na Shilole wanapenda sana kupata mtoto wao, ila anafahamu kuwa hiyo ni mipango ya Mungu na wakati wowote kutoka sasa ikitokea baraka hiyo watafurahi, huku akiweka mipango ya ndoa baada ya kutambulishana kwa wazazi.
Eatv.tv
Hakuna ndoa kati ya muislamu na mkiristo naomba shilole azingatia maandigo ya dini yake leo yupo duniani kesho yupo mbele ya mungu atasema nini
ReplyDeleteMbona mimi mkristo nimeoa muislam na kanizalia watoto watano na wote nawapeleka kanisani,wewe hapo juu acha kukariri.
ReplyDeletekama kakuoa huyo mumeo hajui anachokifanya
ReplyDeleteWw hapo juu vp,? Udini umekutawala na dini yenyewe umeletewa eeeh,kaz kweli binadam wote sawa utofauti unauleta wewe hapo juu... Badilika
ReplyDelete