Baada ya Kuyaanika Makalio yake, Faiza Ally Aporomosha Matusi Mazito Kwa Wanaomponda

Faiza Ally amewajia juu Watu wanao mpiga majungu kuhusu kivazi chake alichovaa katika KTMA 2015 .
 
Faiza ambaye aliwahi kuwa mke wa mbunge  wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu', jana alipost ujumbe katika ukurasa wake wa Instagram na  kutoa ya moyoni jinsi anavyo keleka na watu wanavyo mfikilia tofauti .
 


==>Huu  ndo  ujumbe  Aliouandika Instagram
Nyie watu wapya humu ndani wengi wap**mbavu mmenijua kupitia hiyo nguo ambayo nimeshasema kamba zilishuka ilikua sio lengo kukaa uchi.

Nawaambia wote mnao nijaji wap**mbavu tena sana ! huwezi ukajifanya unanijua sana kwa kukosea mara moja ! we na yule na wengine wajinga! tako limekaa wazi ni sehemu ya mwili tu ! sio kila kitu kwenye maisha yangu zaidi kumuingiza mwanangu na baba mtoto wangu- muwakome!!!!!!!!

Nyinyi na nguo zenu ndefu mmefanya nm kwenye jamiii- nasaidia yatima, nasomesha watoto watatu,nasafisha mahospitalini kwa kujitolea,natoa misaada kwenye odi za watoto wa kansa,nimeshiriki kupinga mauaji ya albino,juzi nimetoa vyoo kwenye shule.

Mbona hamna hata hizo blog ushuzi zilizotangaza mema ! mmmeona tako tu ndio muhimu p**mbavu zenu nyie ????? nauliza ? wewe umefanya nn ktk jamii yako punda we!

Koma shika adamu yako! kama unaona mm chizi mwenda uchi unafanya nini hapa , pita �� nipishe ...... muonekano sio muhimu p**mbavu we! utu na ubinaadamu kwanza ! tako kitu gani ??? si tako tu ! ....
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KILA MTU NA MAISHA YAKE MWACHENI DADA WA WATU

    ReplyDelete
  2. Chizi karogwa tena

    ReplyDelete
    Replies
    1. haaaaahaaaa i agree with you lol!!! unaweza to a misaada utakavyo but if you don't respect yourself no body will. lol girrrrrrl you need to check yourself to the psychiatry hospital lol. Something is not right.

      Delete
  3. Akili huna mtu mzima ovyooo unatafuta kiki watu wakutambue kwanza hatukujui Malaya uliyeachika unajiuza yako lenyewe bayaa!! Tunahis unabwia unga si akili yako timamu huna ndugu na umekomaa unafikiri kongoro la tembo

    ReplyDelete
  4. Yamtokayo mtu kinywani ndo yaliyo nafsini mwake. Ni ajabu kweli kutamani kuwa katika kundi lililostaarabika wakati matendo na tabia yako kwa ujumla havikidhi hata chembe ya vigezo vya uhalali na uhalisia kuwa mtu aliyestaarabika. Mti hutambulika kwa matunda yake kamwe huwezi tegemea mema kwa mtu muovu ni sawa na kutegemea kuvuna zabibu toka katika mmea wa bangi. Hata kama ungekuwa umefanya mema mangapi lakini kumbuka tendo baya moja tu linatosha kufuta mema yote uliyotenda mwanzo. Pia huchukua muda sana kutengeneza sifa nzuri na njema lakini haigharimu muda wowote kuvuruga mema uliyoyatengeneza kwa miaka mingi. Ikumbukwe kujenga hugharimu muda mwingi lakini kubomoa ni rahisi mno.

    ReplyDelete
  5. umesema kweli anonymous june 19, 2015 at 4:18 AM, mara zote fanya mema na mazuri, anza na kumaliza vizuri, viwango vyako vya utu vinaonekana kwa kioo cha maisha yako/matendo yako. Bora mdada akae kimya, arekebishe maisha yake ndipo watu watanyamaza, kwa macho ya kupapasa tu ameharibu na kujiharibia mpaka kwa kizazi na familia yake yote, akae na kujitathmini kwa upya.(napita tu)

    ReplyDelete
  6. Hah hah eti chizi kalogwa tena!

    ReplyDelete
  7. kapuuzi sana hako....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad