CCM Yabariki Ubunge wa Wema Sepetu

Siku chache baada ya mwanadada anayefanya vizuri kwenye filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimempa baraka mrembo huyo kwa uamuzi wake huo.

Akizungumza na mtandao huu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema kila mwanachama ana haki ya kugombea uongozi wowote ule ilimradi awe mwanachama hai, hivyo kwa Wema kugombea ubunge wa viti maalum ni haki yake na amefanya uamuzi sahihi.

“Kugombea uongozi ni haki ya kila mwanachama, Wema ana haki, kwanza ni mwanachama hai na baba yake alikuwa mwanachama mzuri sana wa CCM mpaka anafariki dunia, hivyo chama chetu huwa hakikutani na watu barabarani tu, bali wanakuwa ni halali kabisa mpaka wanatangaza kugombea,” alisema Nape.

Hata hivyo, alisema wasanii wote waliotangaza kugombea kupitia chama hicho hawajakurupuka bali ni wanachama hai na wamekuwa wakishiriki kwenye shughuli mbalimbali za kichama, tangu kwenye kampeni za mwaka 2010.

Wasanii wengine waliotangaza nia ya kugombea ubunge kupitia CCM licha ya Wema ni Ndumbagwe Misayo "Thea" (Viti Maalum, Kinondoni) na Wastara Juma (Viti Maalum Morogoro Vijijini).

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alivyo na tabia chafu ccm hamna akili kabisa mtu kutwa yuko busy na mashoga na machangudoa atamuongoza nan nchi ya kifala kweli

    ReplyDelete
  2. Licha ya hayo. Ana previous convictions ngapi? Hiyo hai count? Kishawahi kutupia picha ngapi akiwa nusu uchi? Nani asietambua umalaya wa Wema? Yaani CCM wamekata tamaa kiasi hicho? Hata kama ni mwanachama hai. Does she have the qualities? Angalia issue yake ya kwenda kufanya fujo na kutukana matusi machafu Global publishers, na alipompiga yule waiter huku akitamba kuwa yeye ni mtu maarufu. Ukiachilia matusi anayotukana wasanii mbalimbali kisa wanaume. Kuonyesha picha akiwa na wanaume mbalimbali vitandani. IS CCM THAT DESPARATE???

    ReplyDelete
  3. CCM yenyewe ni ya mashoga na machangudoa, hivyo huyo ni changudoa mwenzao! Wacha wapeane wote wachafu watupu, hebu wee mwenyewe tazama kwenye CCM ni kiongozi gani utasema ni msafi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. wWewe mwenyewe atakama haupo CCM jiulize umsafi?

      Delete
  4. Good luck Wema you deserve the best

    ReplyDelete
  5. Watu mnaropooookwa haya nyie wasafi nendeni mkaongeze fyuuuu. Mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Mungu pekee c wewe kinuka mkojo kutwa kumnyooshea mwenzio kidole.

    ReplyDelete
  6. Ok muheshimiwa wema sepetu

    ReplyDelete
  7. Lakini kwa CCM hakunaga kisichoshindikana.Hata matokeo ya uraisi 2015 yanajulikana. Kwahiyo huyo kicheche mashuhuri atakuwa kishaandaliwa nafasi yake ili akastareheshe majando ya watu.

    ReplyDelete
  8. Wabunge wamezoea Kufata mbunye nje na kukimbia vikao vya bunge wacha wasogezewe karibu wajifanyie self service kwa zamu

    ReplyDelete
  9. ACHANA NA MASIKINI WEMA NENDA BUNGENI TIMIZA NDOTO ZAKO ACHANA NA WASENGE HAWA WANAOTOKA MAPOVU

    ReplyDelete
  10. aliye msafi naanze kumpiga mawe wema

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad