Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam UDSM Champa Tuzo Mwanamuziki Diamond Platnumz

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kimempatia Mwanamuziki  Diamond Platinumz Tuzo ya  the most inspiring Young Man as a music icon..Tuzo Hiyo ilipokelewa na Mwanamuziki Nick wa Pili kwa Niaba yake kwani yeye alishindwa kufika katika Hafla ya utoaji wa Tuzo hizo kutokana na Ratiba zake kumbana....Hongera Kijana unazidi kutupiga gap tu.......

Niki wa Pili Ameandika Hivi Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:


  • nikkwapili Kwaniaba ya @diamondplatnumz @diamondplatnumz mzawa wa tandale katika hii fani yetu tuliyokuwa tunaitwa wahuni....leo yeye ndio the most inspiring (kijana) as a music icon....TUZO IMETOLEWA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SAALAM , KITIVO CHA MASOKO 4h



Tanzania Hottest Celebrity Gossip New

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hongera sana bwana DAIMOND ukifikia mpaka chuo nilchosoma kimejua mchango wako ni dhahiri unafanya music kisayansi! BIG UP SANA DAI UR A REAL BONGOFLAVA KING! LAKIN UMESHALIPA ZILE ADA ZA WATOTO ULIOWAHID KUWASOMESHA?

    ReplyDelete
  2. ACHENI UONGO SIO UONGOZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM BALI NI DUMA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA MARKETING NA SIO WOTE NI MEMBERS TU TENA WALIPIGA KURA. UONGOZI WA CHUO KIKUU CHA DAR HAUHISIKI NA HIZO TUZO HAZIWAKILISHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM BALI NI DUMA YA WANAFUNZI PEKEE HAKUKUWA NA KIONGOZI YEYOTE WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM PALE HIGH TABLE BALI VIONGOZI WA DUMA TU.

    ReplyDelete
  3. EBWANA UMETUFUMBUA MACHO UDAKU NAO! NILJIULIZA MASWALI MENG MAJIBU MACHACHE!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad