Hivi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, sasa hyo dharau mnaiona mashabiki wa Wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na Diamond.
Ila nimekuja kujua kumbe chanzo cha chuki ni mimba ya zari na kuachana na wema. Washabiki wa wema hawajakubali hali ya wema kutokuwa na raisi wa wasafi, pia Wema nae bado ana kisasi, na ndo mana anaendesha kampeni ya kumpigia kura Davido na sio mtanzania mwenzake Diamond.
Ila tu nisisitize; Jokate, Wema na Mange, nyie na washabiki wenu mpigien Davido wenu, ila msitake kufanya watanzania wengine wamchukie Diamond bila sababu. Sisi watanzania wengine tutampigia kura.
Na naona Vanesa nae ashaanza kuingia team Wema, mana anajipigia promo yeye mwenyewe na kumuacha Diamond, badilika dada.
Vote for Diamond ana Vanesa, MTV Awards.
By Mdau
mimi ni team wema lakini nitapiga wa watanzania mwenzangu maana najali sana utaifa
ReplyDeleteHUO NI UJINGA WA HALI YA JUU SANA KUMPIGIA KURA DAVIDO NA KUMWACHA DIAMOND KWA SABABU AMBAZO HAZINA MASHIKO. KAMA NI KWELI JOKATE WEMA NA KIBA MNAFANYA HIVYO NI AJABU SANA..
ReplyDeleteWe nae usitushike masikio kwan huyo dai ndo nan
ReplyDeleteTanzania ikiwa na watu wenye IQ sifuri kama wewe 3 itatuchukua miaka 1000 kuendelea! unashadadia issue ambayo hata shiling hunufik nayo! UPUUZ MTUPU!
Deletetena ni mshamba sana kushabikia mtu ambaye hata humjui - pumbavu kabisa
DeleteMshamba huyo kwani hata kama mmeachana ndio uwe na kisasi na mtu aya maisha alafu ni mafupi sana.BADILIKA
ReplyDeletekajambe mbeleeee, si lazima kila mtu ampigie Domo, kama kakuhonga uje uandike huku umebugi meeen.
ReplyDeleteKWANI ZARI NDO MWANAMKE WA KWANZA KUSHIKA MIMBA?? MBONA DAI ANAVYOMTUKANA WEMA HUWA HAMUWEKI KWENYE UDAKU, LEO LIMEWAUMA SAANA MTAKUFA WIMA,TUZOHATOPATA MWAKA HUU, LABDA WAGANDA WAMPIGIE KURA.
ReplyDeleteUsilete uadui, SI wema, joketi wala mange. Yeye Dai alisema hashuki alipp idharau kili award bila kujua kwamba anaidharau Tanzania nzima ambao ndio walio mpa hizo hela, yes ile Ni dharau kubwa eti yeye WA kimataifa, wacha watanzania wamdundishe adabu, and he need to apologize to kili
ReplyDeleteKima weee, umewaona joket na Wema na dada lao tuu. mbona kuna wengi hawampendi Domo? uliza kwanza kabla ya kudandia trein kwa nyuma.
ReplyDeleteakinya kuku kanya, akinya bata kaharisha. sio woote wanaomsujudia Almasi kama wewe udaku, kila mtu anahaki ya kumpigia kura anaemtaka. mimba my asss!
ReplyDeleteMBONA ZARI NAE ANAMTUKA WEMA?? AU HAMUONI ILA AKIFANYA WEMA NDO MACHO YANAFUNGUKA FASTAAAA, NA ALIVYOTUKANWA JOJO PIA NI POA HEEEE! MTACHAMBA WIMA MWAKA HUU.
ReplyDeletesi watanzania wote wanampenda dai, usilazimishe watu
ReplyDeletewampigie kura kama hawataki, yeye si wakimataifa.
DOMO ALISHASEMA HABABAIKI NA NDIMU JUU, KAMA UNAJIPENDEKEZA NI WEWE NA SI WA TZ WOTE. HATUMPIGIII KURA. BLOOD FULL
ReplyDeleteMPENDE WEWE INATOSHA, HIYO MIMBA YA KATUNZI HAKUNA ANAEJALI ISPOKUWA DAI.
ReplyDeletewe nawe mpigie kura wewe wacha wengine waendelee makelele yao, unaumizwa na nini kila mtu na maamuzi yake asiyempenda dai muache na maamuzi yake anayempenda dai atampigia kura, nyie ndiyo mnaokuza maugomvi
ReplyDeletekura zinapigwa wapi jamani?????
ReplyDeleteUmeshaambiwa ni VOTE, it is not about nationality it is about the BEST. Kwahiyo unataka waarusha wooote wa vote kwa lowassa, na wamtwara wa vote membe or watchu talking about. Kila mtu achague the best. Na hao MTV wangekuwa kama wewe basi hata mataifa mengine yasinge kuwepo kwenye nomination. Gerareeee hiya
ReplyDeleteHivi si vimalaya tu vya bongo hakuna abae havifaham still diamond yuko juu hata hasipo pata tuzo hata moja si alivila na akavimwaga asira tu
ReplyDeletewivu tu wa mafanikio ya diamond ndo unaowaponza..hivi kweli mtu na akili zako ukaenda kuipa sifa nigeria na kuirudisha nchi yako nyuma kisanaaa?mungu ndo mtoaji wa yte kwani naamini kujituma kwa diamond ndio kumemfikisha hapo na siyo majungu. naamini atashinda kwa jina la allah aliye juu.mungu bariki diamond, mungu bariki Tanzania. amina
ReplyDeleteWanafiki wakubwa watanganyika,mlikuwa mnatreat hivyo hivyo marehemu kanumba,alivyodondoka mkajifanya mnalia mnakera.
ReplyDeleteChuki za mini tenaaaa!!? Wabongo bwana Nshidar
ReplyDeleteHATUDANGANYIKIIIII,
ReplyDeleteHuyo Diamond alishawahi kumsapoti mwanamuziki gani haswaa mpaka na watu wakazane kumsapoti. Kwanza hakuna mtu ana shida na mimba ya Zari yenye baba wa 3, pili hata huyo Wema hana haja na Diamond mbona yuko fresh tu na power yake mmeiona. Semeni yote lakini imekula kwenu, Tena mkome kutukana wanawake kuwa makombo kupitia kwa Jokate, na mkome kutukana watu kwenye mitandao, ama sivyo ndio mwaka huu Diamond itakuwa mwisho wa kusikia tuzo.
Power gani aliyonayo Wema mbona ye mwenyewe alikosa tuzo zote tatu kwenye tuzzo za watu?Mbona hao wasanii Wake kina Mirror hawavumi Kiba ashukuru watanzania wana chuki Na mtu aliye juu Dai hata Kama hatoshika tuzo ataendelea kuwa nominated kwenye tuzo mbalmbali kwa ajilli ya kazi zake mpo wabongo na roho mbaya zenu.
Deleteyou know kama unajua maendeleo yako yameletwa na mchango mkubwa wawatanzania ambao hata saa nyingine hawana viatu vya kuvaa au chai ya kunywa, lakini wanafikiria kununua muziki wa Diamond, hafu Dia huyo huyo anawaletea zarau ujui wanaweza kurudisha bagara. punguza majidai na kuwa hambo. unaonaje kama ungetumia hela ulizo nunulia chuu chako unge msaidia mgonjwa wa kansa or mtu ambaye hajui atakula nini bado yake unaendenda kuflash it. kuwa humbo na watu walio kutoa. Piga hata show moja yangu hela zisaidia wagonjwa ambao hawanauweza wa kulipa bills zao za matibu. charity ndio wezetu nchi zilizoendela wana vyuo saidiana sio ubishoo usio kuwa na maana. I like himu but sometime he get on my nevers. Sifa nyingi sana
ReplyDeleteTatizo Ni maneno ya shombo ya diamond na huyo zari. Mi nawapenda Sana wasanii WA home, hasa kiba na diamond, sina team yoyote, ILA kiasi fulani diamond kaonyesha dharau kwa mashabiki awatake radhi sababu hawa mashabiki ndo wamemkubali nyumbani kwanza ndipo akapata mwanya WA kupenya kimataifa. Kiukweli dogo anajitahidi lakini aache dharau,
ReplyDeleteHaya yote yanatokana na upumbavu wa alikiba wa kutaka kurudi kwenye muziki kwa style ya kutaka kumshusha mwenzie kimziki, yeye aliamua apumzike mziki ki mpango wake sasa iweje leo anataka arudi kwenye mziki na kuamsha bifu zake juu ya diamond ambazo ni za muda mrefu tangu wimbo wa lala salama unarekodiwa. Hii si sawa !!! kiba aliacha mziki kimpango wake dai akakomaa akafika alipofika sasa kama kiba ameamua kurudi kwenye game basi alitakiwa akomae na yeye atoe miziki mizuri ajitangaze kimataifa na yeye apate mafanikio na sio kurudi kwenye game kwa staili ya kutaka kumuangusha mwenzie kimziki ni ujinga kwa mtu mwenye upeo wa kufikiri. Hawa wakina wema na jokate haya wanayofanya ni kawaida kabisa kwa wanawake wa jamii ya kitanzania kwani wengi wa wanawake wetu wa bongo wanaendeshwa na wivu so si lazima tuwaunge mkono na kumchukia diamond tuwa ache mwisho wenyewe watajirudi. zaid tuwapigie kura diamond na Vanessa ili wachukue tuzo za MTV ili Tanzania iendelee kung'ara kimataifa kwenye sanaa
ReplyDeletekijana wa watu kafanya juhudi zake hadi alipofikia sasa.kaipa tz sifa kimziki wote walionza mbele yake hakuna aliyewahi kuipaisha bendera ya Tz kimziki .anajituma sana,Tanzania hatupendani wivu chuki zimetutawala sana. Mungu kama kampangia Nasibu kupata hakuna wema sepetu ,Alikiba na huyo changu mwingine atakaemshusha ,wivu mbaya ðŸ˜
ReplyDeleteHuyo Wema hii nguvu angeitumia kuwapaisha kina Mirro wangefika mbali
ReplyDeleteMINGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MBARIKI DIAMOND NA VANESSA, Mwenyezi Mungu alichokipanga kwa Diamond ndivyo kitakavyokuwa hata hao wakina Wema na mpuuzi mwenzake joketi wakihamasisha kupiga kura za hapana, wao waendelee na sisi tutahamasiha ndugu zetu wampigie kura Diamond
ReplyDeleteMimi sio mtanzania but am really surprised with tanzania people, iweje uka mpikie kura mtu wa west african umuache mtanzania wako? Mbona m support inchi ya wenzenu na sio yako? Mimi kama m east frican nita mpikia m east african mwenzangu
ReplyDeleteWakajambe hao team ushuzi Dai yupo juu hata mkifanyaje pyeeeeeeeee
ReplyDelete