Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Hivi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, sasa hyo dharau mnaiona mashabiki wa Wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na Diamond.

Ila nimekuja kujua kumbe chanzo cha chuki ni mimba ya zari na kuachana na wema. Washabiki wa wema hawajakubali hali ya wema kutokuwa na raisi wa wasafi, pia Wema nae bado ana kisasi, na ndo mana anaendesha kampeni ya kumpigia kura Davido na sio mtanzania mwenzake Diamond.

Ila tu nisisitize; Jokate, Wema na Mange, nyie na washabiki wenu mpigien Davido wenu, ila msitake kufanya watanzania wengine wamchukie Diamond bila sababu. Sisi watanzania wengine tutampigia kura.

Na naona Vanesa nae ashaanza kuingia team Wema, mana anajipigia promo yeye mwenyewe na kumuacha Diamond, badilika dada.

Vote for Diamond ana Vanesa, MTV Awards.

By Mdau

Post a Comment

32 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mimi ni team wema lakini nitapiga wa watanzania mwenzangu maana najali sana utaifa

    ReplyDelete
  2. HUO NI UJINGA WA HALI YA JUU SANA KUMPIGIA KURA DAVIDO NA KUMWACHA DIAMOND KWA SABABU AMBAZO HAZINA MASHIKO. KAMA NI KWELI JOKATE WEMA NA KIBA MNAFANYA HIVYO NI AJABU SANA..

    ReplyDelete
  3. We nae usitushike masikio kwan huyo dai ndo nan

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tanzania ikiwa na watu wenye IQ sifuri kama wewe 3 itatuchukua miaka 1000 kuendelea! unashadadia issue ambayo hata shiling hunufik nayo! UPUUZ MTUPU!

      Delete
    2. tena ni mshamba sana kushabikia mtu ambaye hata humjui - pumbavu kabisa

      Delete
  4. Mshamba huyo kwani hata kama mmeachana ndio uwe na kisasi na mtu aya maisha alafu ni mafupi sana.BADILIKA

    ReplyDelete
  5. kajambe mbeleeee, si lazima kila mtu ampigie Domo, kama kakuhonga uje uandike huku umebugi meeen.

    ReplyDelete
  6. KWANI ZARI NDO MWANAMKE WA KWANZA KUSHIKA MIMBA?? MBONA DAI ANAVYOMTUKANA WEMA HUWA HAMUWEKI KWENYE UDAKU, LEO LIMEWAUMA SAANA MTAKUFA WIMA,TUZOHATOPATA MWAKA HUU, LABDA WAGANDA WAMPIGIE KURA.

    ReplyDelete
  7. Usilete uadui, SI wema, joketi wala mange. Yeye Dai alisema hashuki alipp idharau kili award bila kujua kwamba anaidharau Tanzania nzima ambao ndio walio mpa hizo hela, yes ile Ni dharau kubwa eti yeye WA kimataifa, wacha watanzania wamdundishe adabu, and he need to apologize to kili

    ReplyDelete
  8. Kima weee, umewaona joket na Wema na dada lao tuu. mbona kuna wengi hawampendi Domo? uliza kwanza kabla ya kudandia trein kwa nyuma.

    ReplyDelete
  9. akinya kuku kanya, akinya bata kaharisha. sio woote wanaomsujudia Almasi kama wewe udaku, kila mtu anahaki ya kumpigia kura anaemtaka. mimba my asss!

    ReplyDelete
  10. MBONA ZARI NAE ANAMTUKA WEMA?? AU HAMUONI ILA AKIFANYA WEMA NDO MACHO YANAFUNGUKA FASTAAAA, NA ALIVYOTUKANWA JOJO PIA NI POA HEEEE! MTACHAMBA WIMA MWAKA HUU.

    ReplyDelete
  11. si watanzania wote wanampenda dai, usilazimishe watu
    wampigie kura kama hawataki, yeye si wakimataifa.

    ReplyDelete
  12. DOMO ALISHASEMA HABABAIKI NA NDIMU JUU, KAMA UNAJIPENDEKEZA NI WEWE NA SI WA TZ WOTE. HATUMPIGIII KURA. BLOOD FULL

    ReplyDelete
  13. MPENDE WEWE INATOSHA, HIYO MIMBA YA KATUNZI HAKUNA ANAEJALI ISPOKUWA DAI.

    ReplyDelete
  14. we nawe mpigie kura wewe wacha wengine waendelee makelele yao, unaumizwa na nini kila mtu na maamuzi yake asiyempenda dai muache na maamuzi yake anayempenda dai atampigia kura, nyie ndiyo mnaokuza maugomvi

    ReplyDelete
  15. kura zinapigwa wapi jamani?????

    ReplyDelete
  16. Umeshaambiwa ni VOTE, it is not about nationality it is about the BEST. Kwahiyo unataka waarusha wooote wa vote kwa lowassa, na wamtwara wa vote membe or watchu talking about. Kila mtu achague the best. Na hao MTV wangekuwa kama wewe basi hata mataifa mengine yasinge kuwepo kwenye nomination. Gerareeee hiya

    ReplyDelete
  17. Hivi si vimalaya tu vya bongo hakuna abae havifaham still diamond yuko juu hata hasipo pata tuzo hata moja si alivila na akavimwaga asira tu

    ReplyDelete
  18. wivu tu wa mafanikio ya diamond ndo unaowaponza..hivi kweli mtu na akili zako ukaenda kuipa sifa nigeria na kuirudisha nchi yako nyuma kisanaaa?mungu ndo mtoaji wa yte kwani naamini kujituma kwa diamond ndio kumemfikisha hapo na siyo majungu. naamini atashinda kwa jina la allah aliye juu.mungu bariki diamond, mungu bariki Tanzania. amina

    ReplyDelete
  19. Wanafiki wakubwa watanganyika,mlikuwa mnatreat hivyo hivyo marehemu kanumba,alivyodondoka mkajifanya mnalia mnakera.

    ReplyDelete
  20. Chuki za mini tenaaaa!!? Wabongo bwana Nshidar

    ReplyDelete
  21. HATUDANGANYIKIIIII,

    Huyo Diamond alishawahi kumsapoti mwanamuziki gani haswaa mpaka na watu wakazane kumsapoti. Kwanza hakuna mtu ana shida na mimba ya Zari yenye baba wa 3, pili hata huyo Wema hana haja na Diamond mbona yuko fresh tu na power yake mmeiona. Semeni yote lakini imekula kwenu, Tena mkome kutukana wanawake kuwa makombo kupitia kwa Jokate, na mkome kutukana watu kwenye mitandao, ama sivyo ndio mwaka huu Diamond itakuwa mwisho wa kusikia tuzo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Power gani aliyonayo Wema mbona ye mwenyewe alikosa tuzo zote tatu kwenye tuzzo za watu?Mbona hao wasanii Wake kina Mirror hawavumi Kiba ashukuru watanzania wana chuki Na mtu aliye juu Dai hata Kama hatoshika tuzo ataendelea kuwa nominated kwenye tuzo mbalmbali kwa ajilli ya kazi zake mpo wabongo na roho mbaya zenu.

      Delete
  22. you know kama unajua maendeleo yako yameletwa na mchango mkubwa wawatanzania ambao hata saa nyingine hawana viatu vya kuvaa au chai ya kunywa, lakini wanafikiria kununua muziki wa Diamond, hafu Dia huyo huyo anawaletea zarau ujui wanaweza kurudisha bagara. punguza majidai na kuwa hambo. unaonaje kama ungetumia hela ulizo nunulia chuu chako unge msaidia mgonjwa wa kansa or mtu ambaye hajui atakula nini bado yake unaendenda kuflash it. kuwa humbo na watu walio kutoa. Piga hata show moja yangu hela zisaidia wagonjwa ambao hawanauweza wa kulipa bills zao za matibu. charity ndio wezetu nchi zilizoendela wana vyuo saidiana sio ubishoo usio kuwa na maana. I like himu but sometime he get on my nevers. Sifa nyingi sana

    ReplyDelete
  23. Tatizo Ni maneno ya shombo ya diamond na huyo zari. Mi nawapenda Sana wasanii WA home, hasa kiba na diamond, sina team yoyote, ILA kiasi fulani diamond kaonyesha dharau kwa mashabiki awatake radhi sababu hawa mashabiki ndo wamemkubali nyumbani kwanza ndipo akapata mwanya WA kupenya kimataifa. Kiukweli dogo anajitahidi lakini aache dharau,

    ReplyDelete
  24. Haya yote yanatokana na upumbavu wa alikiba wa kutaka kurudi kwenye muziki kwa style ya kutaka kumshusha mwenzie kimziki, yeye aliamua apumzike mziki ki mpango wake sasa iweje leo anataka arudi kwenye mziki na kuamsha bifu zake juu ya diamond ambazo ni za muda mrefu tangu wimbo wa lala salama unarekodiwa. Hii si sawa !!! kiba aliacha mziki kimpango wake dai akakomaa akafika alipofika sasa kama kiba ameamua kurudi kwenye game basi alitakiwa akomae na yeye atoe miziki mizuri ajitangaze kimataifa na yeye apate mafanikio na sio kurudi kwenye game kwa staili ya kutaka kumuangusha mwenzie kimziki ni ujinga kwa mtu mwenye upeo wa kufikiri. Hawa wakina wema na jokate haya wanayofanya ni kawaida kabisa kwa wanawake wa jamii ya kitanzania kwani wengi wa wanawake wetu wa bongo wanaendeshwa na wivu so si lazima tuwaunge mkono na kumchukia diamond tuwa ache mwisho wenyewe watajirudi. zaid tuwapigie kura diamond na Vanessa ili wachukue tuzo za MTV ili Tanzania iendelee kung'ara kimataifa kwenye sanaa

    ReplyDelete
  25. kijana wa watu kafanya juhudi zake hadi alipofikia sasa.kaipa tz sifa kimziki wote walionza mbele yake hakuna aliyewahi kuipaisha bendera ya Tz kimziki .anajituma sana,Tanzania hatupendani wivu chuki zimetutawala sana. Mungu kama kampangia Nasibu kupata hakuna wema sepetu ,Alikiba na huyo changu mwingine atakaemshusha ,wivu mbaya 😠

    ReplyDelete
  26. Huyo Wema hii nguvu angeitumia kuwapaisha kina Mirro wangefika mbali

    ReplyDelete
  27. MINGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MBARIKI DIAMOND NA VANESSA, Mwenyezi Mungu alichokipanga kwa Diamond ndivyo kitakavyokuwa hata hao wakina Wema na mpuuzi mwenzake joketi wakihamasisha kupiga kura za hapana, wao waendelee na sisi tutahamasiha ndugu zetu wampigie kura Diamond

    ReplyDelete
  28. Mimi sio mtanzania but am really surprised with tanzania people, iweje uka mpikie kura mtu wa west african umuache mtanzania wako? Mbona m support inchi ya wenzenu na sio yako? Mimi kama m east frican nita mpikia m east african mwenzangu

    ReplyDelete
  29. Wakajambe hao team ushuzi Dai yupo juu hata mkifanyaje pyeeeeeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad