Davido Achezea Akili za Watanzania.kwa Kuwatubeep Kwa Bendera..Ugomvi wa WEMA SEPETU na Diamond Platnumz ni Faida Kwake TUZO za MTV 2015

Ukitaka kujua kuna watu hawana kazi ya kufanya utaangalia tofauti ya comment za kwenye post ya Davido kwenye instagram. Kawaida huwa anapata comment 100 hadi 200. Lakini post hii ambayo aliyoweka picha ya bendera ya Tanzania imepata zaidi ya comment 2600 ndani ya masaa 4.

Ukiangalia comment zimejaa za wa Tanzania waki-comment ujinga kumpa support na wachache wakiongea vitu vya msingi. Hapa ni hivi, kuna kundi la watu wanaongoza kampeni za kumpigia kura Davido kwenye vipengele vya MTV Awards ambapo Davido yupo na Diamond...Kisa cha Watu kumpigia Kura Davido Kinatokana na Ugomvi wa Diamond na Wema Sepetu Ambao walikuwa ni Wapenzi zamani...Wema Sepetu na Team yake ndio vinara wa kuwashawishi watu wampigie kura Davido Badala ya Diamond..

Sasa inavyoonekana Davido alipata hizo taarifa na kutumia advantage kwa ku-post bendera ya Tanzania na kuweka alama ya love. Basi kawateka wote wasio na kazi wanaanza kupoteza muda wao. Wengine wanasema Davido ka-show love tu kwa Tanzania. Anaanzaje kutoa love bila sababu ya msingi.

Ishu za kitaifa tuache team zisizokuwa na msingi na tutumie bundle zetu vizuri kama sio kujifunza mambo ya msingi basi kuwa support ndugu zetu wanaotuwakilisha sio strangers. Hizi ni baadhi ya comments na nyingine ni nzuri ila nyingine utashangaa kama kweli hawa ni watanzania au wahamiaji tu.



Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. TUNAONYESHA WATANZANIA TUSIVYO WAUNGWANA!!! TUNZO IKIENDA NIGERIA WEWE UNAFAIDI NINI??? HATA VIKOMBE KABATINI VINAGONGONA. MPE KURA DIAMOND

    ReplyDelete
  2. DAVIDO ANAWALA AKILI KWA KUWEKA BENDERA YA TANZANIA NA NYIE MNAINGIA MKENGE!!!

    ReplyDelete
  3. Hata Nigeria wanajua kama Wema malaya. Hahaha Dodoma wakae mkao wa kula. Maana malaya aliekubuhu anaelekea kwao. Kishachemka katika ''kucheza michezo ya kuigiza'' sasa anahamia siasani. Poleni sana wasingida endapo mtakubali kushawishiwa na malaya alieshindikana pande zote. Mnajua kama kawahi kutiwa hatiani na mahakama mbili tatu za Dar?? Ndio mbunge wenu huyo? Na sauti yake ya nyege nyege ndio atawawakilisha nyie??

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad