DAVIDO Atoa Mpya Kwa Vimbele mbele wa Tanzania Wanaomvotia Yeye MTV Awards, Awaomba Wamvutie Diamond Platnumz yeye Hana Shinda na Vote za Tanzania

Hii kali soma ka screenshot chini....
Imeandika "Tanzania Thanx 4 voting but i don want distabance in my acc plz vote Diamond not me Plz"


Davido msanii wa Nigeria, baada ya kuchoshwa na kufatiliwa na Tanzanians ambao hawataki mTanzania mwenzetu Diamond Platnumz ashinde kura kisa kumsaidia wema anayelilia maoenzi na kiba anayetaka kupaa.

Watanzania hawa wamefikia kutia aibu nchi yetu kwa kuandika maneno ya ajabu na hata kutukanana humo humo. Wanamuomba pia mengi wakijua ni single man...aibuuuuuuuu

Amewajibu na kwa mie hata sishangai alichoandika, watu wanadhani wananchi wa nchi zingine ni wajinga kama wao.

Uwiiiiiii mmetia aibu ujumbe huo
Tags

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sawa sawa maana kunawatu wamezidi vimbelembele na kujipendekeza

    ReplyDelete
  2. he just want to prove that Diamond is not his level when he wins!!
    because some of ppl will say Tanzania votes made him to the mountain!!

    go Davido!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli we ni uharisho, mjamaa keshatutapika watz kwa dharau bado we unaenda kumkumbatia kisa una wivu na almasi!! kweli tz kuna wengi walipewa pumzi kwa bahati mbaya khaa!

      Delete
  3. Kuna baadhi ya Wabongo ni wazembe wa akili kiasi ambacho wanatufanya Wobongo Wote Tuonekane kama wao Watu Wenye akili wanajua "lkiwa Haumpendi Mtanzania Mwenzio Hautaweza Kumpenda Mtu Wa Nchi Nyingine" Hii kanuni ya Maisha Ipo Katika Bible, kinyume na Hiyo kanuni ni unafiki na fitina ambazo Davido amezigundua.

    ReplyDelete
  4. AIBU YENU MLOVOTE KWA DAVIDO!!!!!

    ReplyDelete
  5. nyoooo zenu na tunaendelea kumpigia davido hata kama !hatujal!

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha ujinga we 5.11 pm hata aibu huna? unaandika utafikiri umechutama chooni? acha kuandika upuuzi wako, ameshasema hataki kampe mkundu basi ajue kama una mmind shenzi zako

      Delete
    2. sio bure Davido atakuwa anakukula hyo Ndogo hapo nyuma maana haiwezekan uwe kihere here kwa Davido namna hyo

      Delete
    3. ha ha ha mlamba matako utamjua tu, haya piga kura kazanaaaa haswaaaa

      Delete
  6. na wewe ulietaj kiba na wema akili azikutoshi.unachochea bifu zisizo na ukwel.una evidence ya hayo uloyasema

    ReplyDelete
  7. Msilaumu watz tu hata huyo davido nae bado yuko nyuma kabisa simply he was supposed to say thanks na siyo kiburi kumamake mbichi

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe bwege kweli, mtu mnamsumbua hawataki kwa nini awabembeleze?

      Delete
    2. mtoto wa tajiri yule anawaona nyie kama vinyago mnachekesha. Naija wana umoja sana, sasa anawashangaa njaa zenu mnajipendekeza kwake msije muambukiza virusi bureeee

      Delete
  8. Uko wapi ule msemo wa maana uliopo katika nembo yetu ya Taifa"UHURU NA UMOJA"?

    ReplyDelete
    Replies
    1. ulifutika baada ya Wema kuolewa na dougimasta hi hi hi ih ih i

      Delete
  9. tuna vote tu kwa davido no matter what hata apige marufuku mbona wema alishapiga marufuku team yake kumchamba dai na hatujaacha ndo kwanza kasi ya ajabu

    ReplyDelete
  10. watanzania wamezd kiherehere bora ulivyo wapa ukweli braza dvdo

    ReplyDelete
  11. Vote vote 4 davido

    ReplyDelete
  12. ah wapi davido hawezi kuandika kiingereza kibovu hivo. eti distabance, daimond. yani ni mbongo tu fala flani anaandika kama anavotamka. na account ya davido siyo hiyo kwanza

    ReplyDelete
  13. Hahaha hii mbona ilinipita huyu ni mbongo pure na English yake mbovu kama ya dogiemasta.JAMANI WABONGO KIZUNGU NEHII AKIANDIKA TU UTAJUA..HATA YULE ALIYEJIFANYA YEYE NI MKENYA NA KWAMBA SISI WATZ NI WA MWISHO KWA KILA KITU YAN KIZUNGU CHA AJABU KINOMA.Mkenya hana English mbovu ile yan ata wingi na umoja ulimshinda.

    Tusiende mbali jinamizi lingine hilo hapo linalojifanya Davido.Someni madictionary kwanza na jifunzeni grammar halafu ndo muje mjifanye watu wengine.Yani kiingereza kibovuu eti uajifanya Davido kale makande ujambe ulale.HUNA JIPYA WEE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad