Diamond Platnumz Noma Sana..Aingia Vipengele Vitatu Katika Tuzo za MTV MAMA..Vanessa Mdee Nae Aingia Kwenye Kimoja

Diamond anawania vipengele vitatu ambavyo ni Best Male Act, Best Collaboration kupitia wimbo wake ‘Bum Bum’ aliomshirikisha Iyanya, na Best Live. Katika vipengele hivyo anachuana na Davido, Wizkid, Mr Flavour (Nigeria), AKA (Afrika Kusini) pamoja na Sarkodie (Ghana).

Vanessa anawania kipengele kimoja cha Best Female ambacho atatoana jasho na Yemi Alade (Nigeria).

Kenya imewakilishwa na kundi la Sauti Sol wanaowania vipengele viwili vya Best Group na Song of The Year kupitia wimbo wao ‘Sura Yako’.

Tuzo za hizo zitatolewa Jumamosi ya July 18, 2015 huko Durban, Afrika Kusini na tukio hilo kuoneshwa moja kwa moja kupitia MTV Base (DStv channel 322), MTV (DStv channel 130) na BET (DStv channel 129) kuanzia saa 22:00 EAT.

Hii ni orodha kamili:

Best Male
AKA (South Africa)
Davido (Nigeria)
Diamond (Tanzania)
Sarkodie (Ghana)
Wizkid (Nigeria)

Best Female 
Bucie (South Africa)
Busiswa (South Africa)
Seyi Shay (Nigeria)
Vanessa Mdee (Tanzania)
Yemi Alade (Nigeria)

Best Group 
B4 (Angola)
Beatenberg (South Africa)
Black Motion (South Africa)
P-Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)

Best New Act Transformed by Absolut
Anna Joyce (Angola)
Cassper Nyovest (South Africa)
Duncan (South Africa)
Patoranking (Nigeria)
Stonebwoy (Ghana)

Best Hip Hop 
Cassper Nyovest (South Africa)
K.O. (South Africa)
Phyno (Nigeria)
Olamide (Nigeria)
Youssoupha (DRC)

Best Collaboration
AKA, Burna Boy, Da LES & JR: “All Eyes On Me” (SA/Nigeria)
Davido featuring Uhuru & DJ Buckz: “The Sound” (Nigeria/SA)
Diamond & Iyanya: “Bum Bum” (Tanzania/Nigeria)
Toofan & DJ Arafat: “Apero Remix” (Togo/Ivory Coast)
Stanley Enow & Sarkodie: “Njama Njama Cow Remix” (Cameroon/Ghana)

Song of the Year 
Cassper Nyovest: “Doc Shebeleza” (South Africa)
Euphonik featuring Mpumi: “Busa” (South Africa)
DJ Fisherman & NaakMusiQ featuring DJ Tira, Danger & Dream Team: “Call Out” (South Africa)
K.O featuring Kid X: “Caracara” (South Africa)
Lil Kesh Featuring Olamide & Davido: “Shoki Remix” (Nigeria)
Mavins: “Dorobucci” (Nigeria)
Sauti Sol: “Sura Yako” (Kenya)
Toofan: “Gweta” (Togo)
Wizkid: “Show You The Money” (Nigeria)
Yemi Alade: “Johnny” (Nigeria)

Best Live 
Big Nuz (South Africa)
Diamond (Tanzania)
Flavour (Nigeria)
Mi Casa (South Africa)
Toofan (Togo)

Video of the Year 
“Crazy” – Seyi Shay Featuring Wizkid; Director: Meji Alabi
“Doors” – Prime Circle; Director: Ryan Kruger
“Love You Everyday” – Bebe Cool; Director: Clarence Peters
“Nafukwa” – Riky Rick; Director: Adriaan Louw
“The Sound” – Davido Featuring Uhuru & DJ Buckz; Director: Sesan

Best Pop & Alternative 
Fuse ODG (Ghana)
Jeremy Loops (South Africa)
Jimmy Nevis (South Africa)
Nneka (Nigeria)
Prime Circle (South Africa)

Best Francophone 
DJ Arafat (Ivory Coast)
Jovi (Cameroon)
Laurette Le Pearle (DRC)
Tour 2 Garde (Ivory Coast)
Toofan (Togo)

Best Lusophone 
Ary (Angola)
B4 (Angola)
Nelson Freitas (Cape Verde)
NGA (Angola)
Yuri Da Cunha (Angola)

Personality of the Year
Basketmouth (Nigeria)
Bonang Matheba (South Africa)
OC Ukeje (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Yaya Toure (Ivory Coast)

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hata shishangai kwa mtu anayejituma na kujitambua safi kijana kaza.

    ReplyDelete
  2. Kiba yuko wapi? simuoni ama macho yangu?

    ReplyDelete
  3. he he he hayupo baba AnonymousJune 12, 2015 at 1:16 PM

    ReplyDelete
  4. tuko pamoja mkuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad