FAIZA ALLY Ajibu Mapigo Baada ya Kukerwa na Kauli ya SINTAH..Adai Sintah ni Mshenzi Mpaka Anaficha Mtoto Aliye Mzaa

Faiza Ally yamemfika mwisho na kuamua kufunguka haya hapa chini kuhusu Sintah...


Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahaaaa hiyo ndo dawa yake andunje sinta

    ReplyDelete
  2. safi saana Faiza huyo Sinta anapenda kumtukana Wema na hamjibu anafikri woote watakaa kimya, mbona yakwake hayasemi.

    ReplyDelete
  3. umemuweza Andunje yeye kafanya mangapi mpaka akakimbilia ug. sasa anajifanya mstaarabu kumbe anavaa na waume za watu na watoto anawaficha.

    ReplyDelete
  4. Safi sana kipimbi konaogeza maadui tu Sitha tatizo huwa unajifanya mkamilifu nyoo Tena umesahau alijitogozesha kwa okwi pia

    ReplyDelete
  5. HIVI FAIZA MWANAO ATAKUJA KUKUONAJE JAMANI NA VAZI HILO?????? BABA YAKO MAMA YAKO KAKA ZAKO DADA ZAKO SHEMEJI ZAKO WIFI ZAKO WADOGO ZAKO MAIMAMU MASHEHE WOTE HAO UNAWAONAJE?? AU WANAKUANGALIAJE.. MAMA FAIZA PLEASE AONGEA NA MWANAO MAMA!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad