HomeFaiza AllyFAIZA ALLY Ajibu Mapigo Baada ya Kukerwa na Kauli ya SINTAH..Adai Sintah ni Mshenzi Mpaka Anaficha Mtoto Aliye Mzaa FAIZA ALLY Ajibu Mapigo Baada ya Kukerwa na Kauli ya SINTAH..Adai Sintah ni Mshenzi Mpaka Anaficha Mtoto Aliye Mzaa 5 Udaku Special June 18, 2015 Faiza Ally yamemfika mwisho na kuamua kufunguka haya hapa chini kuhusu Sintah... Tags Faiza Ally Newer Older
hahaaaa hiyo ndo dawa yake andunje sinta
ReplyDeletesafi saana Faiza huyo Sinta anapenda kumtukana Wema na hamjibu anafikri woote watakaa kimya, mbona yakwake hayasemi.
ReplyDeleteumemuweza Andunje yeye kafanya mangapi mpaka akakimbilia ug. sasa anajifanya mstaarabu kumbe anavaa na waume za watu na watoto anawaficha.
ReplyDeleteSafi sana kipimbi konaogeza maadui tu Sitha tatizo huwa unajifanya mkamilifu nyoo Tena umesahau alijitogozesha kwa okwi pia
ReplyDeleteHIVI FAIZA MWANAO ATAKUJA KUKUONAJE JAMANI NA VAZI HILO?????? BABA YAKO MAMA YAKO KAKA ZAKO DADA ZAKO SHEMEJI ZAKO WIFI ZAKO WADOGO ZAKO MAIMAMU MASHEHE WOTE HAO UNAWAONAJE?? AU WANAKUANGALIAJE.. MAMA FAIZA PLEASE AONGEA NA MWANAO MAMA!!
ReplyDelete