Faiza Ally Atoa Kauli Nyingine 'Nimekata Rufaa na Nawahakikishia Nitashinda Kesi na Nitamlea Mwanangu na Nitavaa Mavazi Yangu na Kuenjoy Maisha'

Leo Mrembo Faiza Ally Ameibuka tena na Kuongelea issue ya Kunyang'anywa mtoto na Mh Sugu Kupitia Mahakama...

Ameandika hivi katika Page yake ya Instagram:

NASITIKISHWA SANA NA MANENO YENU MAKALI HASA NYINYI MNAO SAMBAZA KASHFA JUU YANGU KUHUSU MAVAZI YANGU- HAKUNA HIYO SHERIA TANZANIA INAYOSEMA NIPOKONYWE MTOTO KUHUSU MAVAZI YANGU- NIMEKATA RUFAA NA NAWAHAKIKISHIA NITASHINDA KESI NA NITAMLEA MWANANGU NA NITAVAA MAVAZI YANGU NA NITA ENJOY MAISHA YANGU/ NINA MWANASHERIA MAKINI ALIESOMEA SHERIA NA SISI NYINYI MNAO NIPA HUKUMU HUMU NDANI NA KWINGINE! PAMOJA NA MAVAZI YANGU MIMI NI MAMA BORA! MNAJUA UPANDE WANGU LKN HAMJUI UPANDE WA SUGU NA HAKIKA MENGI MTAYAJUA KUPITIA KESI HII/ MAVAZI YANGU NAYAPENDA NA KWA MUJIBU WA SHERIA SI KITU KINACHO NIFANYE NI POKONYE MTOTO WANGU- MANENO YENU MACHAFU DHIDI YANGU YANANIUMA SANA LAKINI KAMWE HAYATA NIRUDISHA NYUMA KATIKA KUTETEA HAKI YANGU! NAMJUA SUGU NA NA NINAJIUA MM KTK UBORA WANGU KATIKA MALEZI YA MWANANGU/ MM NI MAMA NA SI MAMA TU NI MAMA BORA KWA SASHA NA ANANIHITAJI NA SITAMUACHA NA NYINYI WAJINGA WACHACHE ENDELEENI KUNIPONDA NA KUONA NA STAHILI KUPATA PIGO HILI NA SI WOTE- KUNA WENGINE WEMA KWA UPANDE WANGU NA WASHUKURU NA NINA WAAHIDI SITAWARUDISHA NYUMA NITASIMAMA MPAKA KIELEWEKE- SASA HIVI NI JASIRI KUPITA MAELEZO 💪.....IN GOD WE TRUST INSHAALLAH....Faiza Ally
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Una enjoy wapi msenge wewe!

    ReplyDelete
  2. Kwanzanhujielewi ,Umechanganyikiwa, Huna akili timamu, Hufai kuwa mzazi na mlezi wa mtoto... watembea uchi wote tunajua ni vichaa kama wewe...pumbavu mkubwa

    ReplyDelete
  3. Mjinga kabisa wewe

    ReplyDelete
  4. huna tofauti na wanaopanga foleni kwenye mabaa kuuza miili labda kwakua wewe unajinadi mchana. mama bora unapost picha matako wazi. nyambafuuna wanaokushabikia nao ma bwege kama ulivyo

    ReplyDelete
  5. mama bora au mama boya,mpumbavu mkubwa unataka huyo mtt awe mjinga km wewe?

    ReplyDelete
  6. mwacheni nyie njaa kali kila mtu na uhuru wake

    ReplyDelete
  7. Ama kweli mpumbavu hawezi elimika kamwe mpaka aache upumbavu wake. Matendo ya mtu huonekana kwa watu waliokuzunguka kamwe huwezi kujielezea vizuri ju ya matendo ya tabia yako mwenyewe isipokuwa jamii ya watu inayokuzunguka. Siku zote mpumbavu ni mpumbavu tu kamwe hawezi elimika ni heri kuwa mjinga kuliko mpumbavu. Mjinga hujifunza kutokana na makosa yake lakini mpumbavu hurudia upumbavu wake maana si mtu wa kujifunza. Badilika upewe mtoto umlee na sio kwa kutumia hizo kanuni zako za kipumbavu unazozitegemea vinginevyo ni sawa na dua la kuku kamwe haliwezi kumpata mwewe.

    ReplyDelete
  8. mpaka wakina mange wakupe akili ndo huseme sirudi nyuma nenda kajambe mbele uko na hizo nguo za kisenge na ungekuwa uwarabuni na hizo nguo mbona tungeshakusahau.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange ana siri yake unafikiri angemsapoti hv hv, hapo ana machungu alijirahisisha kwa Mh. Sugu ila jamaa akamtolea inje na kumdate Shyrose basi ndio kinyongo mpaka leo ha ah ah ah

      Delete
  9. It is very hard to correct a fool ! ......... this woman is beyond repair, laaanatul llahi !

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad