Faiza Ally Atoa Mpya Usiku Huu wa KTMA...Vazi lake Latia Aibu ..Wengi Hawajalipenda Wampa Vidonge Laivu

Baada ya Lile vazi alilovaa Siku ya All White Party ya Zari Kuleta Ngumzo Mitandaoni ..Leo Tena Mwanadada Faiza Ally Amekuja na Mpya Kwenye Tuzo za KTMA...

Baadhi ya Watu Wamekerwa na Vazi Hilo na Kusema Yafuatayo:

Angelayubu Loooh shoga ata kama umaarufu umezidi iyo sasa shombo

Jestina George Sina kawaida hii lakini leo wacha niseme Faiza jamani why?? Not on the red carpet my love Noti Raiti kabisa mamii ake!!! I appreciate ubunifu wako but this is a NO! NO! Juu na mbele sawa kidogo huko nyuma hapana, hapana!!!

Mwakipesilejeremiah Kwakweli mheshimiwa Mbilinyi alikosea njia.

Pendomackay_mobileshop Iko kimstar cha matakon angekiweka sawa km vilivokaa vnge angalau ingevumilika,asa nako kakabinulia kwa chini ili tako lionekane mweeh alitegemea kusifiwa ila kwa coment hz unaweza jiona takataka

RathhawaPumbavu kabisa mwanamke hana haya huyu. Mara avae pempers,mara avae shati tupo. Bora aende uchi tu


Missbutter_beiby Yaani hata wakati anahojiwa hakuwa na amani kabisa anahemea juu juu tu 😂😂😂akakataa kugeuka lol aibu hata km ni umaarufu sio kihvy angefunika tu hilo tako na am sure hata huko alipokaa hayupo confotable kabisa

sophy_soffy Sifa za kjinga hizo! Mtu mwenyew ana umarufu gani! Eboo...' hata filamu 5 hajaact! Kisa tu kazaa na mweshimiwa na kaonekana ktk interview ya take one! Bas tabu tupuu' ovyoooo! Yan kaharibu..'mtto wake cjui anamfunza nn!@zamaradimketema@mrekebishatabia


gwantwamwangoka Mmmh too much aiseee....huyu akapimwe akili lol...duu mnaweza kuona mwenzenu mzima kumbe anautindio Wa ubongo .kichaa sio lazima aokote makopo .hata havutii


Je wewe una Maoni Gani Kwa Vazi Hilo la Faiza Ally?
Tags

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ifikie wakati vyombo vinavyosimamia maadili vionyeshe uhai wao kwamba vipo na vitimize wajibu wao, maana kukaa kwao kimya wakati kuna mwendelezo wa matukio ya utovu wa maadili kwa kiwango cha juu kabisa hususani kwa hawa wasanii wa upande kike ni suala la aibu na la ajabu kabisa. Hi ni aibu kwa Tanzania tunategemea watoto wa Taifa hili watarithi nini kwa tabia za kishenzishenzi, kipuuzi na kipumbavu kama hizi. Ndio hawahawa wanapokuwa nje ya nchi katika shughuli zao awaoni aibu kutembea ata wakiwa uchi washenzi wa tabia. Sijui nani aliyewadanganya kwamba kukaa uchi na kuvaa vichupi ndio urembo na kuonekana wabunifu? Kwa kweli Taifa limepoteza maadili na uadilifu na hi imetokana na huruma ya kuwaonea aibu watu kama hawa matokeo yake ndio kama inavyoonekana. Kundi la washenzi na wahuni kama hawa linazidi kukua kadri uchao. Naishauri mamlaka husuka dawa ni moja tu kuwashughulikia jamii ya watu hawa bila ya huruma ili kurudisha hadhi ya maadili na uadilifu wa Taifa letu wasiwaonee haya hawa vibaka hawana maana yoyote kwa ustawi na ujenzi wa Taifa hili ni wahuni tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. maadili yameporoka sana, umalaya unahalaliswa publicly! ukute sasa huyo ndio bread winner unafikiri wazazi wake watamkanya?

      Delete
    2. maadili yameporoka sana, umalaya unahalaliswa publicly! ukute sasa huyo ndio bread winner unafikiri wazazi wake watamkanya?

      Delete
  2. Mtu mzima hovyoooooooo9o ujinga tu

    ReplyDelete
  3. unatudhalilisha wanawake lol!

    ReplyDelete
  4. she just want attention, very stupid

    ReplyDelete
  5. kila mtu ana uhuru wake wa kuvaa cha ajabu nini hapo

    ReplyDelete
  6. I real like Wema! Jaman huwa anavaa desert Sana kwa matukio muhimu! Huyu Faiza Ni kichaaaaa kabisaaa

    ReplyDelete
  7. @Anonymous 9:53 AM.. cha ajabu nini? Kaa uchi na wewe tuone uozo wako

    ReplyDelete
  8. FAIZA KANIACHA HOI KWAKWELI, ANAPENDA KIKI ZA AJABU AJABU.

    ReplyDelete
  9. nafikiri huyu dada kawa dissapoind toka aachane na sugu, anahutaji dactari wa kumuweka sawa kiakili.

    ReplyDelete
  10. cha ajabu ni kwamba watanzania mnapenda kuiga culture ambozo sio za kwenwu, American does'nt have culture that why they do what they do. were umazaliwa na culture zenu umezaliwa ukiwa unajitambua were mini. uhuru wa kufaa ndio upo but for women who respect themselves and know their value, they will never shows their chick butt kwa dunia mzima for what???? and let tell you something, respect your self people will respect you. and if your looking attention from you ex sweet heart, that man is sitting somewhere laughing on you.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nadhani kiswahili kiko poa tu, tuenzi lugha yetu adhimu

      Delete
    2. Nadhani kiswahili kiko poa tu, tuenzi lugha yetu adhimu

      Delete
  11. let me asking her something how many man did you get after showing the you butt?????? non!!!! respect yourself women. Hatakuyo mbuge hawezi kurudia tena kama ndio unatafuta attention take manna haweza kuwa na first lady ambaye anatembea uchi hazarani lol. Hatawananchi we can not allow that.

    ReplyDelete
    Replies
    1. andika tu kiswahili kha! let me asking?

      Delete
  12. @Anonymous 9;53am cha ajabu ni wewe kushindwa kuelewaaa nini maana ya sehemu za siri katika maumbile ya mwanaadamu watanzania tuna mila na desturi zetu ambazo hatuwezi kuziuza kwa ujinga wa wawest jiuliza je utajisikiaje umuona mama yako katika mavazi hayo? kumbuka huyu mwanamke sio msichana nasema mwanamke ni mama wa mtoto kama vile wewe ulivyo mtoto kwa mama yako ni aibu kubwa kwa watoto wake,wazazi wake,familia yake, waganda,watanzania,waafrika,wanawake wote duniani na waislamu wote laanah tullahi curse of Allah be upon her

    ReplyDelete
  13. sugu ulikosea njia kwakutaka mke maharufu. sasa ona amekuvua nguo mpaka wewe mwenyewe na pia huyu dada anatafuta kujulikana kwa lazima. faiza umekomaa utadhani unamiaka 50 kumbe 32. badilika umarufu hauji kwakujitoa ufahamu shame on uuu.

    ReplyDelete
  14. He kumbe ana miaka 32????? mi nilifikiri ana miaka 60! lo

    ReplyDelete
  15. Kibibi kizeee lakini anajifanya mtoto ovyooooooo!!!!

    ReplyDelete
  16. Sura mmempalama kama mbuzi wa hitma nyooooo!!!

    ReplyDelete
  17. HIVI HUYU ANA WAZAZI? BABA NA MAMA YAKE MKO WAPI? ANA KAKA NA DADA ZAKE MKO WAPI? MJOMBA SHANGAZI NA NDUGU WENGINE WAKO WAPI?? AU NI KICHAAA? AKAPIMWE AKILI JAMANI..

    ReplyDelete
  18. HIVI NYIE WANAWAKE MLIOKUWA NAYE SIKU HIYO KWANINI HAMKUTIA BAKORA????????????

    ReplyDelete
  19. Huyo dada ni mpumbavu. kama anataka mtindo wa kutembea uchi ajigeuze mnyama, kuzaa na mheshimiwa sio kigezo wala umaarufu wa kufanya hayo madudu yake. hivi mtoto wake atajivunia nini je kuwa na mama taahira au? na nyie mnaemrusha kwa mtandao mnampa kichwa, ilitakiwa picha yake isionekane popote pale, na hao waandaaji wanampitisha kwenye zulia jekundu je maana yake nini

    ReplyDelete
  20. JAMANI SERIKALI IKO WAPI?????? HUYU ANATAKIWA ASHITAKIWE KWA KUVAA NUSU UCHI JAMANI USHAHIDI HUO SERIKALI MNANGONJA NINI? TENA AFUNGWE NA SIO FAINI JAMANI

    ReplyDelete
  21. Ametukanisha Waafrika wote, waafrika madhsriki, Wstanzania na Waislsmu kwa jumla. Hapa ndipo unapoonekana umuhimu wa mahkama za Kadhi. Angelikamatwa na kupelekwa na hstimar angelichapwa viboko. Iwapo itawezekana àshtakiwe The Hague au UN au kwa Obama!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad