IMEFICHUKA: ‪Team AliKiba‬ wataipenda hii... Huu ndio ukweli kuhusu ile Gari ya Mil. 700 ilayodaiwa Zari amemnunulia Diamond Platnumz

Zari: Many thanks to ma bro Katsha the king of rides, for making it happen, Ma boo couldn’t stop thanking me I guess it’s always good to have a gal who’s got ya back…. thanks once again. Watch the space # NewVideoTingz!!!!!

Kama hujaelewa ni kwamba hii Gari ni ya Shemeji yake Diamond na aliiazima kwa ajili ya kushuti Video

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. So what,team fulani bibi kichefuchefu!

    ReplyDelete
  2. acha ujinga we mwandishi

    ReplyDelete
  3. Wee acha uzushi kupenda kupapatikia watu, Katsha na Zari wana undugu wa wapi?

    ReplyDelete
  4. safi sana diamond, u re the best.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad