Kajala Atangaza Kumsamehe Mbaya Wake

Staa wa Bongo Movies, Kajala, ambaye wiki kadhaa zilizopita alishambuliwa na kujeruhiwa usoni kwa chupa na kijana alieyedai kuwa ni pombe zilimtuma vibaya, amesema licha ya shauri hilo kuwepo bado polisi, binafsi amekwishamsamehe kabisa kiroho safi jamaa
  • Kajala aliyasema hayo kwenye eNewz ya EATV  na pia alitumia nafasi hiyo kukanusha dhahiri kuwa mbaya wake huyo hahusiani kwa namna yoyote na pande mbili za mashabiki wenye mivutano mikubwa ambao ni  TeamWema wanaomsapoti mwanadada Wema Sepetu, dhidi ya Teamkajala ambao wanamsapoti yeye binafsi.


Picha:  Kajala alipokuwa na jeraha

Tanzania Hottest Celebrity Gossip News

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad