Hii Message Inazunguka leo Mitandaoni:
Kilimanjaro Music Awards/Tour 2015
Tunashukuru Kwa Kuweza Kufanikisha Zoezi La Jana
Tunapenda Kuwashukuru Wasanii Wote Walioweza Kuhudhuria,
Kushiriki Na Kujinyakulia Tuzo Mbalimbali!
Tumepata Malalamiko Kuhusu Tuzo Ya Mtumbuizaji Bora Wa Mwaka
Wa Kiume.......
Kwa Maoni Ya Watu Na Mijadala Bado Ni Kuhusiana Na Tuzo Hiyo... Dah Inakuwa Ni Vigumu Kufanya Au Kubadili Maamuzi Kwani Hata
Meneja Wa TBL Amesema Ilikuwa Na Makosa...
Kwenda Imeshaenda Sasa Tuujenge Mziki Wetu Kwa Kuwapa Sapoti
Wasanii Wetu Daimond Platnumz Na Vanesa Mdee Katika Tuzo Za Mtv
Ili Kuleta Heshima Nyumbani
Tunaomba Radhi Kwa Yote Yaliyojitokeza.
hatumtaki Diamond anatabia mbaya sana kudharau na kuwakejeli wa tz. asipate hata hizo za mtv.
ReplyDeleteDOMO ANAJIONA SANA TOKA AWE NA HILO ZEE LA UGANDA ANAFIKIRI KASHAFIKA, HAJUI KAMA WATANZANIA NDO WALOMFANYA AFIKE ALIPO.
ReplyDeleteNitampigia Venesa tu, dai kashanitoka kumoyo.
ReplyDeleteDomo si alisema azitaki za tz? yeye ni wakimataifa? so wakimataifa watampigia kura.
ReplyDeletehakuna lolote huyo Lemutus anajaribu kumsafisha Almasi ili aonekane kaonewa nzandiki mkubwa, awaambie waganda wampigie kura na si wa tz.
ReplyDeleteLekunukaz anataka kumsafisha Domo, hana jimya ndimu na malimao zimemrudia mwenyewe na matende wake.
ReplyDeleteDai kapata 2 anahaha. si alisema hatoshuka kimziki couz yeye ni wakimataifa? sasa kelele za nini.
ReplyDeletetuzo zimetoka kwa haki, kama mnataka kumpaisha Dai subirini next yr. ila mumfundishe adamu na mumrudishe shule pia. komaaa le mutuz tutolee udoko wako hapa. hatumpendi Dai.
ReplyDeletekiki zilizidi kwa domo, kasema yeye ni wakimataifa ila akumbuke kwanza alitakiwa awe wa taifa. blod fully
ReplyDeletekubwa jinga limepaniki
ReplyDeleteEwe kumbe hawa wako kwa ajili ya Diamond? Au wana ubia na MTV? Au wamekuwa mapromota wa wanamuziki?
ReplyDeleteMbona sioni T, imepotea ghafla, si ni KTMA where has T gonne to siioni hapo kwenye hiyo titlle hapo juu.
Ni kweli mbona kwenye hili Tangazo jina la Tuzo haliendani na jina la ukweli? Kwa mfano huko kwenye picha hapo juu na nyinginezo kote imeandikwa KTMA kwa kirefu ambayo ni Kilimanjaro Tanzania Music Awards na hilo tangazo ni la Kilimanjaro Music Awards Tours yaani KMAT ni vitu viwili tofauti kamdanganyeni Dai ndio hajaenda shule.
ReplyDeleteKwanza KTMA hawawezi kupromote tuzo za MTV inahusu, hahahahahahaaa mtawapata viazi.
So what u trying to say? What?? Makosa ulishindwa kuhesabu kura? People vote kwa wale wanao mtaka wao na sio tbl,ndio maana Kuna vote that is. Alie shinda kashinda coz pole vote for him, natunapata washindi kwa vote. Ni halali take, huyo meneja aache kelele. Kiba kapigiwa kura he won coz we vote for him period
ReplyDeleteaibuuuuuuuuuuuuu,huyo mliyempa anajiskiaje baada ya kauli hii, as africans lets try to be realistic especially in sensitive matters,ni kama mmekoleza chumvi kwenye zogo lililokuwepo ataanza kujihisi kapendelewa then reputation yake inakuwaje ,
ReplyDeletewote wapuuzi hamna adabu hata kwa familia zetu shenzi taipu
ReplyDelete