KIMENUKA...Mwanamuziki Linah Sanga Amshutumu Wema Sepetu Kutoka Kimapenzi na Bwana wake

Unamkumbuka yule jamaa wakati timu ya taifa ya brazil imekuja Tanzania kecheza na taifa stars aliingia katikati ya uwanja na kumkumbatia mchezaji KAKA wakati mechi ikiendelea?

Yule ndo boyfriend wa msanii wa music Lina Sanga, jana kupitia kipindi cha ala za roho cha clouds fm msanii Lina Sanga alifunga na kumlalamikia msanii Wema Sepetu kwa kutoka na jamaa yake wakati akijua kabisa alikuwa ni boyfriend kabla hakujatokea mtafaruku baina yao. Lina anasema ameshtuka na kuumia kusikia Wema anatoka na jamaa.


  • Lina  'Unajua wakati tuna mahusiano na jamaa mimi nilikuwa nawachukulia kama watu wanaofahamiana na ni marafiki wa kawaida tu hata wakiwa wametoka out lakini baada ya mimi na jamaa kutokea kutoelewana na ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano yoyote na nimedumu na jamaa kwenye uhusiano kwa miaka 4, sasa nimeshuka na kuumia nisidanganye kusikia jamaa anatoka na Wema, hata hivyo nawatakia kila la kheri kwenye uhusiano wao'


Hata hivo Lina aligoma kuthibitisha kama ana ujaozito wa jamaa au hana.

Wema Sepetu nae amehadi kuja kutoa lake la moyoni


Tanzania Hottest Celebrity Gossip News

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani niko mbwindenga huku neno RANGI ndio nini tena?

    ReplyDelete
  2. MMMMM!!! HII KALI KAMA NI KWELI

    ReplyDelete
  3. kick tu hizoooooooo

    ReplyDelete
  4. Linah anatafuta kiki, kaona watu wamemsahau so bora amtaje Wema ili nae aweze kuwa kwenye news. mjinga tuu

    ReplyDelete
  5. LINAH ACHA UONGO, KAMA UMESHINDWA KUISHI NA MWANAUME NI KOSA LAKO, USITAFUTE MCHAWI. WEWE UMETEMBE NA MABWANA WA WATU WANGIPI? SEMA KWANZA NYANGAUUU, HAMNA RAHA BILA KUMTIA MADAMU WEMA MDOMONI. WIVU TUU

    ReplyDelete
    Replies
    1. JAMAN NA NINYI MMEZIDI........AU CZO WEMA ANA DAMU YA KUPENDWA AU ANA PESA NYINGI NDO KILA MTU AWE UPANDE WAKEEE???????MNAJUA ALIKOZIPATA IZO PESAAAAA?????NA MANA HAKIKA GANI NA YOOOTE YANAYOANDIKWA HUMU KAMA SI UMBEA TUU, WOTE WANA MAISHA YAO NINYI HAYAWAHUSU, WEMA ANA DAMU YA KUPENDWA BUT LINA HANA MASHABIKI WENGI DATS Y KOMENI KABSAA KUPONDA WATU COMMENT KITU CHA MAANA BILA KUKERA WENGINE HIO NDO FREEDOM OF SPEECH.

      Delete
  6. Fagio Wemaaaa wa Sembetuuu

    ReplyDelete
  7. naona Linah anatamani maisha ya Wema, humpati hata kwa theluthi moja tulia bibi wee.

    ReplyDelete
  8. kiki nyingine hazina kichwa wala miguu, wewe Lina si ulishatembea na Domo. mbona Wema hajasema kitu, tutokee hapa kidudu mtu.

    ReplyDelete
  9. kwani mwanaume ukishaachana nae kisha akawa mpenzi wa mtu mwingine ni kosa au? sas linah si alishaachana nae! hata akiwa na Wema kinamuuma nini au katumwa kumchefua wema tuu.

    ReplyDelete
  10. Mtu mmeachana nae miezi miwili ishapita, na mpaka mnafikia kuachana kabisa ina maana mahusiano yenu yalikuwa yashaporomoka kabla ya hiyo miezi 2, leo umuone yuko na mtu mwingine utangaze kakuchukulia bwana wako? Viroja kwa kweli havisemeki, siku hizi wanaume wakiachana na wanawake wasitoke na wanawake wengine mwee!

    ReplyDelete
  11. ulimtesa sana AMIN ESTELINA SANGA, HIVI ULIVYOMFANYIA AMINI VIKUMBUKE ZEN ONGEA ,,, BUT NAKUPENDA ILA JIFUNZE KUTOBLAME ...

    ReplyDelete
  12. jaman huyo linah mlivyomshambuliaaaaaa muoneeni huruma duuuuuuuuuh! maneno yote hayo n yake?

    ReplyDelete
  13. kayataka mwache apewew makavu live. Lina hana nyota wala hajui kuji sexsha kwa wanaume. atulipe tu boya lile

    ReplyDelete
  14. Hahahahaaa wadau hamjanikeraaa wema wanguu miaka 900000000000000000

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad