Kisa Lowassa,Mzee Mengi alalamika kutukanwa, Aweka hadharani namba ya mbaya wake na Kuandika Ujumbe Huu

Baada ya ITV kurusha matangazo ya moja kwa moja siku ndugu Lowassa alipotangaza nia, Mzee Mengi amelalamika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa wapo watu walimtukana sana, haswa mtu mmoja ambaye namba yake kaiweka hadharani.

Kwanini Mengi atukanwe? Mbona ni vituo vingi vilikuwa Live? Mbona hata watangaza nia kama Wassira na Mwigulu ITV walirusha Live?


Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu iddy mkwama achukuliwe hatua kwa namba yake kutumika vibaya.

    ReplyDelete
  2. babu anazeeka vibaya huyu!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Toa Hoja we mjinga. debe tupu.

      Delete
  3. KWELI KABISA BABA HAWAJUI WATENDALO. !!!!! UBARIKIWE KWA KUWASAMEHE!!! NA MUNGU ADUMISHE MOYO WAKO WA IMANI!!

    ReplyDelete
  4. Hili lizee bomba ni hatari kwa nchi hii!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ndiye bomba. Mpiga debe, akili huna, hujui uhuru wako na utabaki maskini. Mwenzio kisha jikomboa na unamzomea. Wivu huo. Kama unazo juu fanya kazi upate chako. Au Waambie CCM wakupe za burel.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad