Whenever he breaks off from his tight performace schedules, Diamond Platnumz loves spending most of his time around his lovely wife, Zari Hassan. Time and again, the Bongo heartthrob has shared videos of himself assisting his pregnant wife to do some of the household chores.
Well, the nasema nawe hit-maker really knows how to treat his woman right. Ladies, meet ‘cheff Diamond’ cooking Ugali for Zari.
MANENO YANASAIDIA,
ReplyDeleteNO SIFURIA CHAFUU KUKUUUU,
NO VIBLUEBAND VILIVYOKAA OVYO OVYO.
KILA KITU KATIKA KABATI LAKE.
HONGERA KWA KUJIFUNZA.
Walitaka kuonyesha watu tu kuwa sasa wamenunua masufuria mapya yenye hadhi baada ya kuchanwa na watu. Nani asiyejua kuwa watoto wa kiume wa kimanyema hawajui hata kupika chai, hapo kushikilia mwiko sio kusonga ugali mwee. Mashauzi haya kuna siku utashikishwa gagulo uonyeshwe unafua gagulo la mkeo, wee haya wee sie yetu macho.
ReplyDeleteweee acha roho mbaya kwani kumfulia gagulo mkeo ni kosa????? wanaume wenye mawazo mgando kama wewe hawatakiwa zama hizi.
Deleteacha ujinga wako, kama kupika hata baba yako alikuwa anampikia mama yako kabla hamjazaliwa wewe unaona kupika ni deal sana kihivo? hata kama amenunua masufulia we inakuhusu nini? kanunue ya kwako pia pumbavu kabisa
Deleteoooooh i like them, you go boy
ReplyDeletepig up diamond wacha wasema usiku watalala. nice couple
ReplyDeleteWema akiona hiyo halali. Ataendeleza kampeni ili Kiba na Davino wapate kura zaidi ya Dai. Go Dai Go Dai Go Zari Go zari. Hilo jiko na nyumba yote vinampendeza Zari hasa. Wema anafaa sana kukaa mwananyamala.
ReplyDelete