Linah Kutoa 'Tamko Kali' kwa mahasimu na Kumuhusu WEMA SEPETU Kumchukulia Bwana Ake

Star wa muziki Linah Sanga amesema kuwa bado ana dukuduku kubwa moyoni ambalo anajipanga hivi karibuni kulianika hadharani kwa njia ya tamko rasmi ambalo atalitoa kwa njia hiyo hiyo ya mtandao.


Linah
Baada ya kupitia kipindi kigumu cha misukosuko ya kusemwa na vilevile kutukanwa mitandaoni na kulalamika sana, star wa muziki Linah Sanga amesema kuwa bado ana dukuduku kubwa moyoni ambalo anajipanga hivi karibuni kulianika hadharani kwa njia ya tamko rasmi ambalo atalitoa kwa njia hiyo hiyo ya mtandao.
Kwa mujibu wa Linah kupitia mahojiano exlusive tuliyofanya naye, amesema kuwa tamko hilo kwa sehemu linahusiana na tuhuma za kulalamika kuibiwa bwana, kitu ambacho kinaendelea akiwa haoni sababu ya kuendelea kukaa kimya zaidi, na kuumia roho.
Linah amesema kuwa, kwa sasa anajipanga kuandaa waraka huu na kuanzia siku yoyote kutoka sasa, mambo yote kutoka moyoni mwa mrembo huyu anayetikisa chati za muziki ndani na nje ya Tanzania, yatakuwa hadharani.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. watoto wa wachungaji nao shida

    ReplyDelete
  2. woman woman or pole ur not woman just a girl! acha kujizalilisha kisa mwanaume kwani wee ndio wa kwanza kuachwa kwa ajili ya demu wengine us dada zako tumepita uko pia tukaumia yes inauma n we move on by the way most ya uhusiano mwanaume akuwachae kwa ajili ya mwengine huwaga hana mana si wa kumlilia akupendae hakuachi no mataa what!! so wee mwanamke usitupigie kelele in zari voice kwa bwana yupi haswaa asienda dobi akatakata!! unatafutwa kuchabwa tuu huna lolote wee chokoza team nanihilio wamedata wenzio watakuvua nguo njiani shauriloo

    ReplyDelete
  3. huyo anatafuta kiki za juu maana wiki hii yote ni ally kiba na davido tu sasa anaona haogerewi8 akajambe mbele kule na kitaulo chake

    ReplyDelete
  4. hasira za kukosa tunzo zitaishia kwa Wema.

    ReplyDelete
  5. Lina kashapauka hajulikani mjini, anatafuta kiki kama Zaiza ya kukaa matako nje

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad