Lowassa Akodishiwa Ndege Maalum na Wafadhili wake, Yagharimu Mamilioni

Wakati watu kama Sitta wakikodi magari maalum kwa ajili ya zoezi la utafutaji wadhamini na watu kama Makongoro wakijikongoja na magari ya marafiki zao; hali imekuwa tofauti kabisa kwa Lowassa kwani yeye amepatiwa ndege maalum kwa ajili ya shughuli hiyo ya kutafuta wadhamini!

Ndege hiyo 'private jet' ambayo Lowassa amepatiwa na wafadhili wake katika safari yake hii ya matumaini imetolewa mahususi kwa ajili ya kuhakikisha Lowassa anazunguka mikoa yote nchini bara na visiwani kabla ya julai 12 na 13 ili akamilishe zoezi la kuwapata wadhamini 435 nchi nzima ili kufanikisha sharti la chama kwa wagombea nafasi ya urais.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa kwa mtaji huo tutafika kweli????? Hiyo hela ya kukodishiwa Ndege itarudije????????

    ReplyDelete
  2. Wafadhili!!! Ndiyo wanamtuma anunue nchi siyo! Hakika watanzania tutakwisha kwa style hii!!

    ReplyDelete
  3. Tena wafadhiri wenywe madrag deller na mafisadi wa hii nchi. ndio hao mapapa wasiolitakia mema Taifa hili, wanataka liendeleee kudidimia kwa umasikini uriokithiri wao waendelee kuiba na kufanya uzandiki wao na crimal nyingi tu, alafu Watanzaia maskini ni wengi, na hao wanajiona matajili ni wachache, Michosho tu hili Taifa lishachoka, pamoja na utajili wake mkubwa wa mali asilia, lakini limekaliwa na raia wasiopenda maendeleo, bali kuliteketeza katik sura na ramani ya dunia, tuendelee itwa masikini

    ReplyDelete
  4. Kwanza huyu baba ana Parkinson, sijui kama watanzania wengi wanajua madhara ya huu ugonjwa au kumshabikia uraisi, tu huko tunakoelekea ndio mtazidi kulia na kusaga meno. kwa ajili ya kukosa maalifa, na kutotumia akili

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad