Maneno Aliyoyasema Mwanamuziki Barnaba Baada ya Kukosa TUZO ya Mtunzi Bora wa Mwaka iliyoenda kwa ALI KIBA

Hatimae Aliyekuwa Akitegemewa Kupata Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka Kill Awards Mwanamuziki Barnaba Ametoa ya Moyoni Baada ya Kuikosa Tuzo Hiyo:

Barnaba - Nawashukuru watu wangu wote na mashabiki Zangu mlionipiga Kura naamini kila kilichotokea Kimestahiri Kutokana Mimi nampenda mungu na naamini kuna Kitu kinaitwa Wakati au muda na napenda Changamoto mana hii Itafanya Nifanye Vyema mara mbili ya pale ninapofanyaga Yes Of coz mimi sinaga Team Bali Team yangu ni wale wote wanaopenda Muziki Mzuri nawapenda wote na nawapa Ongera wenzangu wote mlioshinda Bila kusahau kipenzi Changu #bestfemaleperformer and #bestfemaleartist @Vanessamdee Kushinda kwako ni wazi inaonesha wazi kazi nzuri Aya Tunaendelea na kazi Ya kuangusha Vyuma Juu Ya Vyuma na mwaka Huu natoa #Album Ambayo itafanya Yule asiyemwelewa Barnaba ajue na aelewe mwisho nawakumbusha Umoja ni nguvu utengano............. Tusijenge Matabaka Nndugu zangu

Una Maoni Gani ?

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kazi za Banaba ni nzuri, tatizo watu wanapiga kura kwa ushabiki wa kijinga, nani ambaye ajui kwamba bboy ni mtunzi mnzuri.! Acheni ushabiki wa kijinga angalieni nani an deserve then mpeni.!!

    ReplyDelete
  2. Ukiongelea talent ya music hapa bongo Barnaba ndiyo namba moja! Ila wakati wake wa kula matunda ya kipaji chake utafika tu na hapo utakapofika wale wafanyabiashara na wasanii wa muziki wataisoma namba ni bora kwa sasa watumie vizuri fame na pesa wanazopata kwa sasa. Watu wakishaelewa tofauti ya usanii na uwanamuziki patakuwa hapatoshi! Barnaba please ongeza juhudi zaidi na zaidi tunaokuelewa tupo tunaamini utafika unapotaka kufika

    ReplyDelete
  3. NI KWELI KABISA BARNABA ANA KIPAJI KIKUBWA NA ANAPIGA MUZIKI WA KIUTAALAMU SANA. NIMESHANGAA SANA KUKOSA TUNZO. INANIFANYA NIAMINI KUWA WATU WAMEPIGA KURA ZA USHABIKI WA TU LAKINI SIO KIUTAALAMU. BARNABA BOY UKO JUU SANA!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad