Maneno Mengine ya OMMY DIMPOZ Kuhusu Waliomtukana Instagram Baada ya Kumposti ALI KIBA Kwenye Page yake ya Instagram

Ommy Dimpoz alipost tangazo la Video mpya ya Ali Kiba lakini baada ya kupost wapo waliopita kwenye post yake @Instagram na kuanza kuandika comments za matusi.

Mwenyewe amesema hakupenda kuona watu wanaandika comments za matusi kila kitu ambacho anapost… Ommy amesema kwenye kurasa za mastaa kama yeye wanaotembelea ni watu wengi kwa hiyo sio kitu kizuri watu kuandika lugha za matusi.

Mitandao huwa inakuwa na story nyingi sana kuhusu mastaa, wakati mwingine utasikia staa huyu na huyu hawapatani, Ommy amesema wakati mwingine watu huwa wanakuza hata beef kati ya mastaa lakini beef nyingine sio za kweli.

Msikilize Gossip Cop na Ommy Dimpoz hapa kwenye U Heard ya leo JUNE 29 2015

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad