Mashabiki wa Ali Kiba wajazana page ya MTVAfrica

Wakati utajaji wa majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTV Africa ukiendelea, katika hali isiyo ya kawaida mashabiki wa Ali Kiba wameonekana kuzagaa kwa wingi kwenye ukurasa wa Television hiyo pendwa kupendekeza wimbo wa Mwana.

Hata hivyo juhudi zao hazikuzaa matunda kwani msanii huyo hajaambulia hata category moja kutokana na kile kinachosemekana kutotambuliwa na MTV. Msanii Diamond Platnumz ametajwa kuwania category 3 hadi sasa.
Tazama hapa walivyokuwa wanaandika kwenye page ya MTV:

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. poleni fans wa kiba, ila hizo tuzo ni kwa hit songs na msanii aliyejuu, kiba bado mdogo kwa chibu.|itawauma sana

    ReplyDelete
  2. Ni Kweli MANENO YAKO Kiba Kwa CHIBU Atasubiri Sana bado Lazima Wakubali CHIBU ni Msanii MKUBWA Sana.

    ReplyDelete
  3. Ndio maana watu wamegoma kumpigia kura Diamond kwa nyodo zenu, sasa mmebaki mnahaha kwenye page za watu kuomba kura tena kwa tubu karaha, mnajidai eti wazalendo. Mnalo hilo mwaka huu hapati ng'oo, hakuna cha MTV wala Nigeria nini sijui. Si mwajiona mwatosha pigeni kura sasa peke yenu mkichanganya na nyodo na matusi yenu.

    ReplyDelete
  4. wewe 9.22 pm hatuna shida na kura yako mshenzi sana na kwa taarifa yako tunatwangia DAI kila siku na kimura itakuwa mingi na kutosha

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad