Mrembo JOKETI MWEGELO Akiri Kumkosesha Diamond Tuzo za Kill Music

Jokate
Ikiwa ni Siku chache zimepita toka Diamond Platnumz Kugalagazwa vibaya na hasimu wake mkubwa katika muziki Ali Kiba kwenye  Tuzo za Kill Music Awards 2015, Tayari mchawi wa kwanza wa msanii huyo amejitangaza hadharani...
Akiongea na Redio Clouds kwenye red carpet, Joketi Mwegelo Kidoti alikiri kumpigia kura Ali Kiba na Kushawisha wetu wengine wampigia kupitia Instagram na kumtosa mpenzi wake wa Zamani Diamond Platnumz..

Kitendo cha Jokate Kutangaza Hadharani kuwa yeye alikuwa miongoni mwa waliompigia kura Ali Kiba kimedhihirisha kuwa sio kwamba hapendwi na Team Kiba tu bali hata wepenzi wake wa zamani hawapendi kuona Diamond Akiendelea Kisaniiii....
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. washenzi wote na wala haiwasaidii

    ReplyDelete
  2. Na bado....., huyo ndomo alimwita kidoti makombo, angeanzaje kumpigia debe?

    ReplyDelete
  3. kwani siyo makombo?si kashampitia lazina ni makombo siyo bikira huyo, kwani yeye mungu hata anrudishe nyuma diamond kimziki?ndiyo kwanza wamemuongezea neema mshamba tu wewe Jokate na hao wapuuzi wenzako

    ReplyDelete
  4. we uliskia wapi??,,wakati maskini ya mungu hakuna hata siku diamond anajibugi watu,,huwa anabebeshwa uwongo mwingi sema tu ananyamaza magazeti yaliamua kuandika hivyo ilitu watu wampasive daimnd vibaya ila mwisho wasiku daimnd mungu huwa anambeba sana ,,we hujiulizi mbona anatukanwa kila kukicha na kashfa kibao lakini bado anaendelea tena hatua kubwa tu?????maan yake mungu anamtangulia sana,,,,,

    ReplyDelete
  5. BIG UP DIAMOND!!!!! WATASEMA SANA WEE PIGA KAZI TU

    ReplyDelete
  6. Hivi huyo Dai domo anavyowatukana hao wanawake alowahi kuwa nao ndo sahihi ilawao kutompigia kura sio sahihi????acheni utoto na mawazo mgando

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad