Mwanamuziki Fid Q Chukua Tahadhari, Umeshuka Sana Kimuziki

Fid Q uwezo wako unashuka sana, Fid Q wasasa si Fid Q wa miaka michache iliyopita
Fid Q naheshimu sana uwezo wako wa kuandika japo flow yako si nzuri sana.

Kuhusu kuandika Joh Makini hakwambii kitu lakini flow yako si mbaya sana.

Rudi nyuma angalia ni wapi umekwamba Fid Q, mpaka leo hii umepiga show za fiesta
zisizozidi hata tatu, show kubwa ya Dar hujatia mguu kabisa.

Kidogo watu tumeanza kukusahau, unahitaji kufanya kazi ya ziada ili urudi pale ulipokuwa.

Fid Q rudi zako, enzi zile unaandika mwanza mwanza. Kinyume na hapo tuzo za Kili za 2015 utazisikia bombani.

By MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We vp ww ndo hujui muziki yan kutokupiga show za fiesta ndo kutokuwa mkali?!!! Uckurupuke aiseeee show za fiesta ndo wakali?!! Fikiri kabla ya kutenda aisee ila fid kaza buti gem uniona mwenyewe.

    ReplyDelete
  2. Kwa fid kushuka sio kweli na kusema flow za fid sio kivile umexhemka kaka fid ni kiwango kila idara acha kukurupuka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad