Mwigizaji Ray Ateswa na Picha za Utupu

Supastaa kunako Bongo Muvi, Vincent Kigosi, ‘Ray’.
Chande Abdallah
Supastaa kunako Bongo Muvi, Vincent Kigosi, ‘Ray’ anateswa na tuhuma anazopata kutokana na mtu asiyejulikana kufungua akaunti feki ya Facebook yenye jina la Ray kisha kuposti picha za utupu.

Akizungumza na paparazi wetu, Ray alisema kuwa japokuwa ametoa ufafanuzi kupitia mtandao wake wa Instagram kuhusu picha hizo na akaunti hiyo feki, anashangaa kuona watu wanamuandama na kukomalia kwamba yeye anahusika.


  • “Yaani hii ishu inaniumiza na nimetoa ufafanuzi lakini sieleweki, naomba niseme kwamba mimi ni mtu ambaye najiheshimu sana, siwezi kufanya kitu kama kile mashabiki zangu waelewe hivyo tu,” alisema Ray.

Tanzania Hottest Celebrity Gossip News
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad