- Kuwa juu sio lazima utumie migongo ya watu,mwanamke kujiamin afu mmbwa hawanisumbui kabisa ila fanya yote acha kumtumia msg za uwongo mme wangu ata kama tumetengana tuna mtoto!sooo plzzz kaa mbali na mim ,mim sijazoea uswahili na bishana na pesa sio maneno!ila narudia tena acha kumtumia mme wangu msg za kiseee kama mnatakana fanyeni bila kunitaja tena hamtaona naongea!nazan umenielewa vzuri sina haja ya kukutaja jina unajijua...OVER
Hili ni jiwe gizani.
Mzee wa Ubuyu
Tanzania Hottest Celebrity Gossip News
Wapee mama
ReplyDeleteHEEEE!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteati mume wangu aka!!!
ReplyDeleteHuyo atakuwa Wema Sepetu tuu!
ReplyDeleteusijifanye we sio mswahili kama unamjua si ungemface ya nn kuutangazia umma?huo ni ukosefu wa shule kichwani ovyoooo
ReplyDelete