Rapper huyo mwenye watoto watatu amesema ana hamu ya kupata mtoto wa nne.
- “Suala la uzazi wa mpango nalizingatia sana. Sasa hivi nina watoto watatu bado mmoja tu. Unajua hutakiwi uzae watoto wengi halafu waje kushangaa tu bila msaada,” amesema Nay.
- “Mimi hawa wa nne watasoma vizuri kwa sababu tayari toka naanza maisha nilipanga kuja kuwa na watoto wanne.”
MMMM MAMA TOFAUTI?????? WEWE MKALI SANA. WA TANO HUYOOO NJIANI!!!
ReplyDelete