Ray 'Chuchu Hans si Mpita Njia ..Ana Sifa zote za Kuwa Mke Wangu..Hapo Alipo Anasubiri Ndoa tu'

Imelda Mtema
NYOTA mkubwa katika Bongo Movies,Vincet Kigosi ‘Ray’ ameweka wazi kuwa Chuchu Hans, ambaye ni mpenzi wake wa muda mrefu, si mpita njia, bali ni mwanamke anayesubiri ndoa kwa kuwa ana sifa zote za kuwa mke.

Kwa sababu hiyo, alisema siyo jambo zuri kufikiri kila anapotoka katika mitoko yake ya usiku awe naye kwa kuwa mke hafai kuwa mtu wa kuzunguka naye usiku kama hakuna ulazima wa kufanya naye hivyo.

Kama hivi, mimi nimekuja hapa kwenye shughuli ya ZIFF, kitu hiki kinanihusu peke yangu, hakuna haja ya kumsumbua kuja naye, yule ni mke, siwezi kumtembeza pasipo ulazima wa kutufanya kuwa pamoja,” alisema.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kama ni mke bona hujamuoa sasa wewe mfanye tuuuu ukichoka unmdapo kuleeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad