Shamsa alikiambia kipindi cha Take One cha Clouds TV kuwa ex wake huyo alikuwa na matatizo mengi ambayo alishindwa kuyavumilia.
- “Namshukuru baada ya kuwa gizani sasa hivi nipo kwenye mwanga. Dickson kanifanya nijifunze vitu vingi sana, vitu vingi vya kifamilia nilikuwa nafanya mimi kama mimi, yeye kazi yake ni kukesha baa anakunywa pombe na marafiki zake.Nimeshagombana na marafiki zake wote,” Shamsa alimwambia mtangazaji wa kipindi hicho Zamaradi Mketema.
- “Kuhusu kumtaka mtoto huo ndo ugomvi wetu huwa tunagombana kila siku. Sababu ya kwanza kwanini namnyima mtoto wangu Dickson alishaonyesha roho mbaya kwa mtoto wangu na mwanamke yoyote ambaye una uchungu na mtoto wake huwezi kumuachia mtoto. Dickson alitamka sio mara moja, siyo chini ya mara kumi, katamka kwangu, mbele ya ndugu zake , katamka kwa marafiki zangu kwamba ‘ipo siku nitakuja kumuua Shamsa na mtoto wake.’ Hilo neno zito sana, yule mtu yupo desperate, hana kitu chochote cha kupoteza. Leo hii ninaweza nikampa mtoto akaona ‘huyu Shamsa huyu anaringa acha nimkomoe,’ akimuua mtoto wangu halafu yeye akaenda Segerea hana cha kupoteza, lakini mimi nitaumia sana.” aliongeza kwa uchungu.
Katika hatua nyingine Shamsa amekanusha kutoka kimapenzi na Nay wa Mitego na kudai kuwa bado hajafikiria kurudi kwenye uhusiano.
dada ana mapaja mazuri sana, natamani nimkodishe anikalie uchi tuu bila ya kumtomba nimlipe pesa
ReplyDelete