Sifurahishwi na uadui wa team za mitandaoni lakini sina nguvu ya kuzuia – Alikiba

Alikiba amekiri kutofurahishwa na uhasama unaondelea kati ya mashabiki wake na mashabiki wa Diamond Platnumz kwenye mitandao ya kijamii japo amesema hana uwezo wa kuzuia hali hiyo.


  • “Unajua sisi ni vioo vya jamii na tunapendwa na watu wengi sasa unapoona mambo yanatokea kama hivyo huwezi kufanya chochote na mimi siwezi kuingilia suala lolote la mashabiki,” Alikiba amekiambia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.



  • “Lakini kiukweli sifurahishwi nalo kama kuna uwezekano wangeacha tu. Kiukweli tusupport vya kwetu ili tuwende kwenda mbele.”
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unaweza kuyazuia kama unayo dhamira ya dhati, jipangeni fanyeni kazi nzuri pamoja (collabo) utawaona wote watabadilika na kwa pamoja mtasonga mbele. Wako wapiTMK wanaume na halisi baada ya mivutano na tambo nyingi leo wote hawapo na hakuna hata anaewataja...nyote mama yenu mmoja tanzania.

    ReplyDelete
  2. Wewe ndiyo chanzo cha yote angalieni interview yake na Spora wakati anataka kurudi ndiyo mtamjua kwamba chanzo cha vurugu zote Ni Ali sa hivi anajifanya hawezi kuyazuia na hatoweza kupaa kimataifa Dai akianguka ajue Nayeye ataanguka Tu keshawagawa mashabiki itakuwa kazi Sana kupata support kwa watu wote inabidi afanye Sana kazi mwenzie D angalau keshajaribu na amefanikiwa lakini yeye Ana kazi kubwa mbele ajipange.

    ReplyDelete
  3. Huu ndo wakati Ali na mwenzio Diamond kutengeneza pesa,fanyeni tour tengenezeni COLLABO kisha fanyeni tour ya nchi nzima kisha fanyeni na za nje ya nchi muone mtakavyopata pesa za kuwasaidie hata hapo mziki utakapo kataa,muda huu mtaujutia,na hizi team zenu za Messi VS team Ronaldo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad