Sintah Amchana Mbaya FAIZA ALLY Amwita Mcharuko Kuliko Dagaa Kwenye Chungu

Lile vazi la Faiza Ally KTMA lamfanya Sintah kuropokwa haya kuhusu Faiza:

'Wakati mwingine lazima ujiulize hivi sie binaadam zimo kichwani ama, mtoto mwenye heshima aliyezaliwa na wazazi wake no matter what hawezi kufanya huu ujinga, huyu ndio maana sugu alimpiga chini maana aliona mbali, mtu anawakilisha jimbo anakuwa na demu mcharuko zaidi ya dagaaa katika  chungu? uvaaaji gani huu yarabi but somehow i blame kwa waliotoa kadi maana utapelekaje watu kama hawa katika awards? mnaacha kuwapa watu wa maana na shughuli zao mnawapa watu wanaokuja kutega mingo, maana kama sio kutega mingo hiki ni nini?? anyway Mh Sugu kaa na mzazi mwenzio umwambie maana tangu aachane na wewe naona zimemruka kichwani , hata kama hupo naye ila ana mtoto wako unakubalije mama wa mtoto wako akafanya haya maajabu ya kishetani  bora ajiuze kimya kimya kuliko kama hivi watu wanasema demu wa Sugu mptuuuu kwakweli Faiza unatia aibu  unajaribu so hard lakini wapi?? tatizoooo nyota ipo siku utakunya stand wewe kwa mwenendo huu wa kutaka umaarufu kiulazima

kwani hujawahi kuona watu wakienda sehemu kama zile wanatakiwa wavae nini?? halafu siku hizi wanaume wamejanjaruka hawataki cheap products kajipange upya

ila marafiki wabayaaa na ma snitch sasa mnamuachaje anatoka hivi ama ndio hasikii kupitiliza yaaani mie ndiye ningekuwa but haiwezi kutokea nikawa rafiki yake ningemchapa kwanza its so disgusting, nasty ptuuuuuuu' By Sintah

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwanamke aliyewahi kuishi na muheshimiwa .M.........?
    Alikuwa hivyo tangu zamani?au?pengine akapimwe akili,tusimlaumu kwanza.

    ReplyDelete
  2. Nakoma ubishi huyo mlalamikaji(Sintah)yeye mwenyewe amevaa vipi mpaka anamuhukumu mwenzake kinguo kifupi mno mapaja nje nje maybe hata humo ndani inakohifadhiwa nonino**** hukuivisha kufuri sasa mimi naona kama vile kumshtaki Ngedere mahakamani mwizi wa mahindi wakati yeye mwenyewe mlalamikaji Nyani naye pia kuiba mahindi ndio zake nawe pia jipange upya

    ReplyDelete
  3. Nakoma ubishi huyo mlalamikaji(Sintah)yeye mwenyewe amevaa vipi mpaka anamuhukumu mwenzake kinguo kifupi mno mapaja nje nje maybe hata humo ndani inakohifadhiwa nonino**** hukuivisha kufuri sasa mimi naona kama vile kumshtaki Ngedere mahakamani mwizi wa mahindi wakati yeye mwenyewe mlalamikaji Nyani naye pia kuiba mahindi ndio zake nawe pia jipange upya

    ReplyDelete
  4. NA HUYO SINTAH YEYE KAVAAJE HAPO SASA?

    ReplyDelete
  5. Amakweli nyani haoni kundule!

    ReplyDelete
  6. hana lolote huyu sintah hata na yeye ni walewale beki tatu wa zari, kila mtu ana uhuru wake wa kuvaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad