Siwezi Kumwacha Moses Iyobo....Labda Kama Kuna Mwanamke Mwenye Cheti cha Ndoa nae

Chande Abdallah
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye hivi karibuni alipata mtoto aitwaye ‘Cookie’ amesema kama kuna mwanamke ambaye ana cheti cha ndoa na Moses Iyobo ajitokeze la sivyo hawezi kumuacha.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aunt alisema alipokuwa mjamzito amekuwa akipewa vitisho vingi ikiwa ni pamoja na mwanamke kudai ameporwa mumewe huyo.


  • “Kuna watu wanapenda sana kuongea, sasa mimi nasema kama kuna mtu ambaye ana cheti cha ndoa aliyofunga na Iyobo aje tu kisha mimi nitamuachia, la sivyo siwezi kumuacha,” alisema Aunt

Tanzania Hottest Celebrity Gossip New

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WE MTU MZIMA OVYO

    ReplyDelete
  2. Atakuacha yeye kama alivyomuacha mama watoto wake yule.. ovyooo!

    ReplyDelete
  3. UMEONA EHE, ANAPENDA KULELEWA HUYO. MKE ALIYEYEKUWA NAYE ALISUBIRI KULETEWA. SASA HAPO ANAPEWA MATUMIZI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad