Team Diamond vs Team Alikiba: Kinachoendelea Instagram Kinatutia Aibu Watanzania!


Upinzani kati ya Diamond Platnumz na Alikiba sasa unaelekea kubaya. Kiukweli nimesikitishwa sana na kile ambacho ninakiona kikiendelea kwenye Instagram kati ya kambi hizi mbili.


Infact nahisi ushabiki huu una hasara nyingi kuliko faida kwenye industry yetu. Kwa leo sitaongelea jinsi ushabiki wa wasanii hawa wawili wenye nguvu unavyofanya wasanii wengine wanaofanya vizuri nchini kutoangaliwa, bali nitazungumzia kusikitishwa na kile kinachofanyika Instagram ambapo mashabiki wa Alikiba wameanzisha kampeni ya kuhakikisha kuwa Diamond anakosa tuzo kwenye MTV MAMA pamoja na mashabiki wa Diamond kumtukana Davido bila hatia!

Kwanini lakini tunafanya hivi? Hivi kweli tunaamua kujidhalilisha kiasi hiki? Majirani zetu wanatucheka, wanatubeza, wanatushangaa kweli kweli! Ushindani huu wa ndani kati ya wasanii hawa wawili kwanini uondoe utaifa wetu? Ushabiki gani huu?

Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania vipengele vitatu kwenye tuzo za mwaka huu za MTV MAMA, iwapo akishinda, ushindi wake si wa familia yake na mashabiki wake peke yake, ni ushindi wa nchi nzima.
Kitendo kinachofanywa na maadui zake ambao infact ni mashabiki wa Alikiba na Wema Sepetu cha kuhamasishana kuwapigia kura Davido na Wizkid ili washinde na kumkomoa Diamond si kizuri.

Ni vyema linapokuja suala la kimataifa, tuweke tofauti zetu pembeni na tuwe kimoja. Kama hili haliwezekani, ni vyema kukaa tu kimya kuliko kuhamasishana kuwapigia kura wapinzani ili msanii wa Tanzania akose.

Haya, jana nimeshuhudia kitu kingine cha ajabu kabisa kwenye Instagram. Davido aliweka post kuonesha nominations nne alizopata.

From nowhere, comments nyingi zikawa ni kati ya Diamond vs Davido! Kwanini? Hii ni page ya msanii wa Nigeria ambaye anawataarifu mashabiki wake kuhusiana na nominations zake sasa huu ushabiki wa Diamond na yeye unatoka wapi tena?

Mbona tunatiana aibu kiasi hiki? Mbona tunaonekana malimbukeni na wageni wa mitandao? Hatuna kazi za kufanya ama nini hiki? Ndio, hadi wanaijeria wanatushangaa na kutuona kama wageni wa hivi vitu? Ugomvi wa Diamond na Davido ulishaisha siku nyingi sasa kwanini mashabiki wanalazimisha uendelee kuwepo?

Kama unampenda Diamond si unajua jinsi ya kumpigia kura, sasa kwanini uende kwenye page ya mtu ambaye wala hana time na masuala hayo na kuanza kumchafulia tu post yake?

Kiukweli tunatiana aibu. Tubadilike!

Bongo5

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MPIGIE WEWE UNAEMPENDA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pumbavu badala kfikilia maendeleo mnakalia timu ny;;;;;;;k shenzi sana! mwandish upo right kabisa ila kuna vchwa vshalaaaniwa na Timu mburura,tim shenz as if they gain samthing in those team gadem fuuuu! EBWANA DAI MAY LORD B WTH U THE NAME OF TZ WLL SHINE!

      Delete
    2. AMEN MDAU WA 11.03 AM

      Delete
  2. kinakuuma nn. au ndo kujipendekeza tuu

    ReplyDelete
  3. Mibongo haielimiki kamwe

    ReplyDelete
  4. Kuna watu hawana akili kama kutiwa alitiwa Wema na kama kuachana waliachana wao kwa nini watu wamchukue Dai kwani wakati wanapendana ww ulikua unafaidika na nini?huo ni wivu wa kisenge tubadilike .

    ReplyDelete
  5. naungana na serikari kufuta baadhi ya mitandao kwa sababu inavyooneka watu hawajui matumizi ya mitandao, unamtukana mtu ili iweje? kama humtaki kaa kimya, niungane na mdau wa 6.24 wakati walipopendana hatukuwepo na wakati walipoaachana hatukuwepo sasa wivu kwa Diamond unatoka wapi? na sasa tunaasoma kuwa huyo Wema anakwenda kugombea ubunge viti maalum singida, je na yeye akichafuliwa itakuwa inasaidia? watanzania tujaribu kujifunza kutoka kwa wenzetu bifu zetu hazitusaidii, wakati wenzetu wanajipanga sisi tunajibomoa wenyewe, na tatizo kubwa tulionalo sisi unaweza ukakuta Diamond na Kiba hawana ugomvi kivile, sisi tunaojifanya tuna team ndo tunaharibu na kuweka mabifu kwa watu ambao hawana ugomvi. Diamond na Davido ni marafiki uweje leo mnataka kuwagombanisha? Mwenyezi Mungu siku zote ni mwema na kama atapanga chochote kwa Diamond binadamu hawezi kuzuia, yeye ndiye mweza wa kila kitu katika dunia hii na ndiye mtoaji, binafsi niendelee kumwomba Mwenyezi Mungu aendelee kumpa nguvu na afya njema ndugu yetu Diamond aweze kufika pale alipokusudia na aachane na walimwengu ambao hawamtakii mema na badala yake alitukuze jina la Mwenyezi mungu kwa kila siku na kila nukta ili aweze kufanikiwa. MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHMA AKUBARIKI SANA NA AKUPE YALE YOTE UNAYEOMBA TOKA KWAKE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. goja nitomboke hapa gazeti la mwanainch ulotuandiaki ahapa keanza linachosha maana mwisho wa siku wewe ni team domo bora udaku kasema bora sasa wewe piga kura kwa umpendaye mimi ni davido na vanessa tu hunilazimishoi ng"oooooo

      Delete
  6. MSENGE HANITH WEWE at 6.24 NANI ANAETAKA KUTIWA NA DAI. WAKATI RUNGU LINAPITA KILA NCHI LABDA WEWE UNAEWASHWA KAMPANULIE. YES WATZ WAJINGA KWASABABU HATAKI KUJIPENDEKEZA KISA NINI. DOMO APIGIWE KURA, KUNYA WIMA HATUDANGANYIKI NGO!

    ReplyDelete
  7. AIBU KWA WATANZANIA POLENI HAMJUI MUNACHO KITENDA NDIO MAANA DAVIDO ANASHUSHUA VIMBELE MBELE PWA PWA PWAAAA ELIMIKENI MUNACHEKWA

    ReplyDelete
  8. kiba leo kachaguliwa kua balozi na wizara ya mali asili haya mnune sasa

    ReplyDelete
  9. NAMPIGIA KURA DIAMOND FOR WHAT KAFANYA LAST YR KUMZIDI WIZ KID?KWAKUA MTANZANIA ?ACHENI USHABEKI VOTES SIO TZ UKIFANYA NGOMA YA KUELEWEKA ANY COUNTRY CAN VOTE FOR U.JAMAA APIGE KAZI MIDUARA SIJUI NN HAIWEZI MUWEKA HUKO ANAKOTAKA AFANYE KAZI N NAT KUDILI NA MEDIA MIAKA YOTE ANAFANYA VIZURI WATU WANAMPIGIA KURA THIS TYM HAJAFANYA KITU SIO HIZO TEAM ZINA INFLUENCE THAT MUCH

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad