Ukimya Wa Zitto Kabwe Na ACT yake Kunani?

Simsikii tena zzk na zile harakati zake za kuitangaza ACT kulikoni?

Au ndio "safari ya kukata tamaa imeanza"? 

Au ndio kusema kimya kingi kina mshindo?


Rudi Bwana Zitto Kabwe tuna kuhitaji sana katika tasnia hii ya siasa za kibongo!

Tanzania Hottest Celebrity Gossip News

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wamemuona nuksi wamenyamazisha kwa RUPIA chezea pesa we mtu akiwa na njaa?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad